Dawasco bomba kubwa limepasuka..

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,540
9,472
Toka jana mmepigiwa simu na kuelezwa lakini mpaka muda huu napita hapo bado hamjatokea na bomba linaendelea kutiririsha maji kwenye mtaro..
Labda mkisoma hapa mtakuja kulifanyia matengenezo.. location Tandika barabara ya Changani inayoenda kutokea Mtongani kwenye daraja la treni..

1462691597436.jpg

1462691285788.jpg
 
Hivi dawasco wanautaratibu wa emergency maana nionavyo mimi hiyo kazi labda watakuja kuanzia jumatatu
 
Yaani toka jana mchana wananchi walishatoa taarifa lakini mpaka muda huu hakuna hata aliekuja japo kuangalia.. Kufanya kazi kwa mazoea.. Majipu yako mengi mno..
 
Jiji ambalo maji yanauzwa kwenye ma tank, magari yanakimbizana kila siku huku yamejaza maji na kuuzia watu...jiji la ajabu sana hili.
 
Rais wangu ana kazi kubwa sana, na ndio maana Jk alipoingia alikuwa kila anapotaka kugusa anaona pameoza ikabidi apige kimya tu.
 
Back
Top Bottom