Dawasco bado ni bomu bomu

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,593
Reaction score
2,019
Nilitaka kulipa maji bahati mbaya saa tatu asubuhi unaonekana kuwa mtandao wao wa Mpesa haufanyi kazi, sio jambo la ajabu, nimetoka ofisini saa kumi najaribu bado haufanyi kazi, invoice ya Dawasco ina namba 14 nyuma nikitumaini ni kwa ajili ya customer service, mshangao wangu, nimejaribu zote hakuna hata moja inayofanya KAZI. kweli hii Ni ushuzi, kesho utasikia hawana hela ya kulipa madeni. Only in Tanzania
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nlipokoma ni mfumo mpya wa kulipia bili! namba ya kampuni wametoa! ila namba kumbukumbu ilitakiwa ni akaunti namba ya mteja ambayo kila mwenye mita anayo, sasa wao et kila mwez wanatoa namba mpya za kumbukumbu kweli hawa ZUMBUKUKU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…