Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,684
- 6,481
KweliJitahidi uwe unachemsha hayo maji kabla ya kunywa ukiifatisha serikalo utaumiza Familiya yako.
Bro unaandika comment hii ukiwa wap??Jitahidi uwe unachemsha hayo maji kabla ya kunywa ukiifatisha serikalo utaumiza Familiya yako.
Maji ya uhai ni ya chumvi lakini ukinywa husikii, ni kutudharau tuu watanzaniaDuuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!
Basi wapewe jukumu hilo watu wenye uwezo huo!Maji ya uhai ni ya chumvi lakini ukinywa husikii, ni kutudharau tuu watanzania
Tatizo urasimu ni mwingi mnooBasi wapewe jukumu hilo watu wenye uwezo huo!
Ya kisima imeshindikana sembuse bahari...?Duuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!
Hatari sana, ndio maana ni ngumu sana kupiga hatua chanya kimaendeleo.Tatizo urasimu ni mwingi mnoo
Kazi ipo!Ya kisima imeshindikana sembuse bahari...?
Tatizo ni ccm imejaa madalali wasio na huruma kabisaHatari sana, ndio maana ni ngumu sana kupiga hatua chanya kimaendeleo.
Teknologia ya kusafisha maji ya chumvi ni ghali, itabidi hayo maji yauzwe kwa bei ya juu kuliko sasa.Wasalam,
Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu.
Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi?
Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali saana.
Mwenzi huu wote maji yao yamekua na changamoto ya chumvi kiasi ambacho unaogea kwa taabu na hata kufanyia shughuli zingine ikiwa pamoja na kunywa.
Ikiwa ni hali hii inatokana labda na kutikutegemea mito je kama ni visima ni kwamba DAWASA wameshindwa kutumia technology ya ku treat maji ya chumvi na ku ya stabilise?
Kwa hali hii je hamu hatarishi Afya zetu kwakuruhusu kutoa huduma kinyume na makubaliano ama huduma chini ya kiwango?
Uzalendo umwekwa benchi tamaa imepewa nafasi kwenye kikosi.Tatizo ni ccm imejaa madalali wasio na huruma kabisa
Kwann wasutupunguzie bei kwa kututolea huduma chini ya kiwango?Teknologia ya kusafisha maji ya chumvi ni ghali, itabidi hayo maji yauzwe kwa bei ya juu kuliko sasa.
Hovyo kweli wewe umeskia hayo maji ya chumvi htrukonayo huku mtaanuz?Na kupata kwa mgao ipi bora?
Hyo system ni very expensive hata bakhresa mwenyewe ameshindwa kutoa chumvi kwenye maji anauzia watu maji ya chumvi.Duuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!