dawa za ukimwi hizooo

dawa za ukimwi hizooo

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
matiti.jpg
dawa za kupunguza makali ya vvu za msababishia kuota matit
 
Mmmmhh! Inatakiwa huyu mshikaji awashtaki waliompatia dawa hiyo.
 
Hii sasa kama imeshaonyesha madhara wizara ya afya iko wapi sasa itoe tamko
 
kwa hiyo hata tbs wameshindwa kujua kiwango au ndo uchakachuaji!hii mjomba ameiona kwel?this is too much!hawa weupe watatugeuza nyan!aisee inatisha sasa!
 
Hizi dawa zilitengenezwa kwa ajili ya wazungu. Damu yetu ina high resistance ndio maana yanatokea mambo kama haya. Tutafute ya kwetu.
 
Jamani kuna anayetumia dawa hizi hapa jukwaani? Kama unatumia hebu tuambie zipo vipi! Umeotwa na matiti au?
 
Duhh... Yani jamaa kama anakamkosi fulani maskini lakini kila moja anajua kila kitu katika dunia hii kina faida na mazara yake hata kama haukuyaona wewe basi mwenzako atayaona ndio kama hivi....any ways namtakia kila la kheri
 
kazi kwa madaktari wetu mliozoea kupasua vyura
hapa ndo pa kuonyeshea ubingwa wenyewe
 
Back
Top Bottom