Dawa za nguvu ya kiume

I am just exercising regularly and eat healthy food...hayo mengine magumashi tu watu wataishije mijini.
 
Mzizi Huo ni Mtaji kwa kizazi hiki

Maana Tatizo hili ni kubwa sana utauza sana mzee

Ila chanzo cha tatizo hili ni nini kwa kizazi hiki??????

Ili kuliondoa tatizo hili tunafanyeje?????
 
Unapoongelea dawa za nguvu za kiume una maana gani mkuu> Maana swala la upungufu wa nguvu za kiume ni pana na limegawanyika katika maeneo mbali mbali, sasa sijui wewe unaonglea upungufu wa ngyvu za kiume wa aina gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…