Dawa za miti shamba na upatikanaji wa mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za miti shamba na upatikanaji wa mimba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwagitho, Jan 1, 2014.

 1. M

  Mwagitho Senior Member

  #1
  Jan 1, 2014
  Joined: Oct 11, 2013
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi dawa ni maarufu sana kwa kina mama wanaoshindwa kupata mimba, naomba mnaozijua mnifafanulie huwa zinafanyaje kazi yake mpaka mtu anashika mimba
   
 2. gody

  gody JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2014
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  ngoja wataalam waje!!!!!!!!!!!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2014
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,128
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 160
  Kwani matatizo ya kutoshika mimba kwa wanawake wote yanafanana kama bamia?
   
 4. l

  lilly petet Senior Member

  #4
  Jan 2, 2014
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kama haieleweki hv!
   
 5. r

  rinalisa bujiku New Member

  #5
  Jan 2, 2014
  Joined: Dec 31, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nahisi ni imani tuu..unakuta mtu anapewa dawa atumie akiamini atapona na kupata mtoto..
   
 6. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2014
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  zinakuwa na lishe na virutubisho mhimu ambavyo ulikuwa unavikosa kwa muda mrefu. ila inategemea si kila anayezitumia anafanikiwa.
   
 7. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2014
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kweli, wakati mwingine mtu anakuwa na stress tu kwahiyo akipewa dawa kule kuamini atapona basi unakuta kweli kapona.
   
 8. b

  byb sac JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2014
  Joined: Dec 10, 2013
  Messages: 896
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  hizo dawa nyingi sana zinausiana na mambo ya uchawi ndo maana watoto wengi wanaozaliwa kwa njia hiyo wanakuwa na matatizo mengi na mambo ya ajabu.na mimba nyingi zinazotungwa kwa njia hii zinasumbua sana.hivyo ni vyema wakina mama kufaata ushauri wa kidaktari ambao umethibitika pia kumuomba mungu sana kwani yeye ndo muweza wa kila kitu...
   
 9. OZILY

  OZILY Senior Member

  #9
  Jan 2, 2014
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muombe MUNGU2 na akisema ndio hakuna atakaezuia
   
 10. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2014
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mkuu, unachanganya habari, mitishamba si uchawi, na hata hizo za hospitali kwa sehemu kubwa zimetokana na mitishamba kama ulikuwa hujuwi.
   
 11. Daudi1

  Daudi1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2014
  Joined: Dec 14, 2013
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,352
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri
   
 12. b

  byb sac JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2014
  Joined: Dec 10, 2013
  Messages: 896
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  IYOKOPOKOMAYOKO. sasa kama hizo dawa zinapatikana hospitalin kwanin wasiende huko.ikumbukwe kwamba dawa za hospitalini zinapimwa kabisa na kuwa na kiwango sahihi cha kutumia tofauti na mitishamba ambayo mara nyingi hazina kipimo husika.pia watu wanaotoa hizo dawa wanaamini nin???
   
 13. M

  Mwagitho Senior Member

  #13
  Jan 2, 2014
  Joined: Oct 11, 2013
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli wanawake wengi wamesaidiwa na hizi dawa sema yawezekana mtoaji wa dawa huwa hasemi zinaenda kufanya kazi gani? unakuta mtu anatumia bila kujua faida na hasara
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2014
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,522
  Likes Received: 4,465
  Trophy Points: 280
  wewe kama unataka Dawa za kushika sema na toa pesa upewe usitake kujuwa mambo mengine Dawa za mitishamba ni nzuri kwa kushika mimba na hazina madhara ukiweza wasiliana na mimi kwa Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com
   
 15. julius mahinya

  julius mahinya JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2014
  Joined: May 11, 2013
  Messages: 1,148
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mimi kabla ya bibi yangu kufariki aliyemzaa baba, aliwahi nionyesha dawa nyingi sana kuhusu uzazi, kuna siku nakumbuka nilienda likizo nikiwa kidato cha tano, akataka mazungumzo nami kikubwa alinitaka nikioa na kuzaa mtoto wa kiume nimuite jina lake na kunitaka nisimuite jina lake mtoto wangu wa kike kuwa hataki tena kurudi kuwa chini ya mume kwa maana ya kumpikia mme, kumtandikia kitanda na majukumu mengine naye angependa kupata hizo raha!!!!!
  swali langu likawa what if nimezaa watoto wote wa kike nisikuite jina? ndio kaanza kunionyesha aina za miti shamba kama mke hazai, kama unataka mtoto wa kiume, kama unataka wa kike.............!
  kifupi kila kizazi hutatua problems kwa namna yao lakini pia kila next generation hudharau njia walizotumia previous generation so hata sisi njia tunazo tumia sasa kizazi kijacho kitatucheka sana! ukweli zinatibu labda mtu awe kalogwa ndio huwezi!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2014
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna dawa ya kumuamrisha mungu akukabidhi kiumbe chake.....
  Mungu ndio tegemeo achana na hayo makitu.......
   
 17. M

  Mwagitho Senior Member

  #17
  Jan 2, 2014
  Joined: Oct 11, 2013
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaweza ukawa unaishi duniani lakini huijui dunia,ngoja upate matatizo ndiyo utaijua dunia
   
 18. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2014
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,774
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Umemaliza kila kitu cna haja y kuongeza.
   
 19. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #19
  Jan 3, 2014
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Inategemea nini tatizo halisi linalotakiwa kutibiwa. Lakini nyingi zinaondoa maambukizi sugu na kubalance madini na vitamini tu hali inayopelekea hormones nazo kukaa sawa...
   
 20. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2014
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,774
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ww achana na hayo makitu
  Km unabisha endelea then mtt akushazaliwa anapokua utajua y tunakushauri usitumue
   
Loading...