Masangutu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 814 Reaction score 653 Feb 8, 2015 #1 Habari wadau wa JF,dukuduku langu nijuu ya hizi sumu za kuua mbu za coil na za kuspray,nimeprove hazifanyi kazi,unapopulizia ajabu mbu au nzi wanapeta tu,tena zile zakuchoma ndo fake kabisa! TBS inalijua hili? Nawasilisha.
Habari wadau wa JF,dukuduku langu nijuu ya hizi sumu za kuua mbu za coil na za kuspray,nimeprove hazifanyi kazi,unapopulizia ajabu mbu au nzi wanapeta tu,tena zile zakuchoma ndo fake kabisa! TBS inalijua hili? Nawasilisha.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,073 Feb 8, 2015 #3 Watu wanaroho mbaya jamani sasa hata mbu na nzi wanahaki yakuishi msiwauwe jaman
safariwafungo Senior Member Joined Apr 26, 2008 Posts 116 Reaction score 51 Feb 8, 2015 #4 Pole sana mdau, ila Nadhani wapo kwenye process ya kuboresha viwango vya hizo sumu za kuua wadudu, naamini mwezi huu mchakato utaanza.
Pole sana mdau, ila Nadhani wapo kwenye process ya kuboresha viwango vya hizo sumu za kuua wadudu, naamini mwezi huu mchakato utaanza.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,692 Reaction score 23,269 Feb 8, 2015 #5 Kwani za coil ni za kuua au kufukuza? Mosquito repellent
Justin Dimee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,145 Reaction score 250 Feb 8, 2015 #6 miaka mingapi imepita. wa acheni bana nao viumbe wa mungu wa faidi maisha kidogo wew binadamu nako una njia nying sana za kufa tofauti na mAleria
miaka mingapi imepita. wa acheni bana nao viumbe wa mungu wa faidi maisha kidogo wew binadamu nako una njia nying sana za kufa tofauti na mAleria