Dawa za kuongeza urefu wa mwili

A.Ngindo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
276
100
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
 
Inayoongeza urefu wa dushe itakuongezea na urefu wa mwili!
 
Ukitaka hiyo dawa uende polisi useme nataka dawa ya kuongeza urefu.
 
Ridhika ulivyo, ufupi sio kilema.
Mwache mwenzio avute mwili juu....
A.Ngindo
mbona jambo dogo hilo!!
Jipange vizuri ufanye mazoezi haya na ufuate taratibu hizi:~
1.
images

2.
images
 
Mkuu, kwani height yako ni kiasi gani kwa sasa... Badala ya kukupa dawa ya kurefusha kimo, tunaweza kukusaidia pia dawa ya kurefusha mawazo yako. Yani ukisimama sehemu ukaongea, inaonekana pande la baba linatema point..
 
Back
Top Bottom