tena walimtaja pale mwemeyanga kwa mbwembwe na kusema ushahidi wanao, sasa wanashindwa nini kuwataja hao bigfishes? huyohuyo tundu lissu alikuwa anatemea na orodha ya watu waliofukiwa mgodini kule kahama, hayo orodha ya wala ngada inampigaje chenga? siaipeleke kwa makonda awataje! watu wengine hovyo sana.Ye alivyomharibia lowasa kwa kumuita fisadi alitumia busara ktk ubongo upi,medulla oblongata au cerebellum