Dawa za kichaa cha mbwa hakuna nchini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa za kichaa cha mbwa hakuna nchini!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Aug 11, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Habari za huakika nikwamba dawa za kutibia mtu aliyeng'atwa na mbwa hakuna nchini baada yakutoke mgonjwa kufariki juzi Mhimbili kutokana na kung'atwa na mbwa!Baada yakwenda MSD Nakuambiwa dawa hizo hatuna!!!Wakaenda kwenye Hospital zote za Dar nakuambulia patupu!
  Na mgonjwa ni marehemu sasa!!!Be care take care!:frusty:
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,351
  Likes Received: 22,195
  Trophy Points: 280
  Maisha bora kwa kila MTANZANIA ndio haya.
  Asante Kikwete.
   
Loading...