Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Daktari alishaniandikia hizo dawa na kuelekeza zikiisha ninunue niendelee na dozi ni ya miezi sita . Sasa kwa muda huu siwez kurudi Nai mkuu na hakuna ulazima kama nikiweza kupata dawa huku huku nilipo.Nenda kwa daktari wa magonjwa ya akili au neurologist mkuu. Ni makosa ku prescribe dawa hapa online.
Jina la dawa utakuwa nalo nenda pharmacy ongea na. PharmacistDaktari alishaniandikia hizo dawa na kuelekeza zikiisha ninunue niendelee na dozi ni ya miezi sita . Sasa kwa muda huu siwez kurudi Nai mkuu na hakuna ulazima kama nikiweza kupata dawa huku huku nilipo.
SKY NAOMBA UNI PM NAHITAJI USHAURI KIDOGO SWALA LA AFYANenda kwa daktari wa magonjwa ya akili au neurologist mkuu. Ni makosa ku prescribe dawa hapa online.
Nimeshazunguka pharmacy maeneo ya posta sijafanikiwaJina la dawa utakuwa nalo nenda pharmacy ongea na. Pharmacist
Pole sana mkuu, una anxiety japo siwez specify kabisa ni ipi, mm pia nishapitia hii ,nilitibiwa ikapungua kwa kiasi kikubwa ila ss tatz limeamia kwenye hasira zisizo za kawaida na kupanic, kama uko dar es salaam nenda regency ukamuone psychiatrist anaitwa prof ndossi.Hili tatizo linatumaliza wengi.
Mimi naomba maelezo kidogo juu ya nini kinanisumbua kulingana na hizi symptoms hapa chini:-
1. Kukosa usingizi kabisa (napata labda masaa mawili kwa siku). Hii inaweza kwenda kwa hata miezi saba mpaka nane kwa mwaka.
2. Muoga/Aibu kuongea mbele ya watu. Hii sio muda wote. Kuna kipindi tu ghafla nakuwa hivyo hata kwa miezi kadhaa then narudi kuwa kawaida.
3. Panic (Selective au sijui niiteje) kuna mambo ambayo binadam kwa kawaida tunastahili kupanic na kuna ya kupotezea, sasa mimi napanic viti vya ajabu sana. Text SMS tu ya kawaida naweza panic na kupata hasira muda mrefu na nisisamehe kabisa. Lakini bunduki, msiba, ajali nachukulia poa kabisa.
4. Anti-Social in real life but very social in the internet and calls. Inapelekea kuoneaka naringa au najisikia.
5. Napenda kufanya kazi au jambo langu mwenyewe. Mpira ni shabiki sana lakini siwezi angalia na mtu.
6. Sipendi Ushauri mid way. Kama ni kununua au kuunda kitu changu, sitaki unishauri kabisa hata kama ni kuboresha. Lakini nikikamilisha niko tayari kupokea ushauri hata ikibidi kurudia upya.
DECLARATION:
1.Ni mgonjwa wa peptic Ulcers
2. Wakati fulani nilitumia marijuana ikasaidia sana kuzifunika hizo symptoms na nikawa kawaida sana. Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitano situmii tena.
Nimeweka jina lake katika kumbukumbu zangu.Pole sana mkuu, una anxiety japo siwez specify kabisa ni ipi, mm pia nishapitia hii ,nilitibiwa ikapungua kwa kiasi kikubwa ila ss tatz limeamia kwenye hasira zisizo za kawaida na kupanic, kama uko dar es salaam nenda regency ukamuone psychiatrist anaitwa prof ndossi.
1. Fanya nazoezi utalala vizuri sanaHili tatizo linatumaliza wengi.
Mimi naomba maelezo kidogo juu ya nini kinanisumbua kulingana na hizi symptoms hapa chini:-
1. Kukosa usingizi kabisa (napata labda masaa mawili kwa siku). Hii inaweza kwenda kwa hata miezi saba mpaka nane kwa mwaka.
2. Muoga/Aibu kuongea mbele ya watu. Hii sio muda wote. Kuna kipindi tu ghafla nakuwa hivyo hata kwa miezi kadhaa then narudi kuwa kawaida.
3. Panic (Selective au sijui niiteje) kuna mambo ambayo binadam kwa kawaida tunastahili kupanic na kuna ya kupotezea, sasa mimi napanic viti vya ajabu sana. Text SMS tu ya kawaida naweza panic na kupata hasira muda mrefu na nisisamehe kabisa. Lakini bunduki, msiba, ajali nachukulia poa kabisa.
4. Anti-Social in real life but very social in the internet and calls. Inapelekea kuoneaka naringa au najisikia.
5. Napenda kufanya kazi au jambo langu mwenyewe. Mpira ni shabiki sana lakini siwezi angalia na mtu.
6. Sipendi Ushauri mid way. Kama ni kununua au kuunda kitu changu, sitaki unishauri kabisa hata kama ni kuboresha. Lakini nikikamilisha niko tayari kupokea ushauri hata ikibidi kurudia upya.
DECLARATION:
1.Ni mgonjwa wa peptic Ulcers
2. Wakati fulani nilitumia marijuana ikasaidia sana kuzifunika hizo symptoms na nikawa kawaida sana. Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitano situmii tena.
Habar wakuu naomba anayefahamu zinakopatikana dawa za anxiety disorders anisaidie,
Nna sumbuliwa na tatzo la bipolar disorder na anxiety .linanifanya nakuwa na hasira sana hata kwa vitu vidogo na pia nime develop tazo la kupanick katika mazingira fulani fulani. Kuna dawa niliandikiwa na daktari mmoja huko nairobi inaitwa escitalopram nilitumia ilinisaidia sana lakn ss kwa hapa dar sijui zinapatikana pharmacy ipi, regency naskia zipo lakini sitaki kulipa ela ya consultation kwa sabab tatz tayar linafahamika,naomba kufahamishwa pharmacy zinakopatikana hizi dawa. 'ESCITALOPRAM "
It comforts me kujua kuna watu aina hii kama mimi. For a minute nilijuona an Allien hivi.1. Fanya nazoezi utalala vizuri sana
2.------jiamini, acha kuikilia dunia itakuelewaje, maisha ni yaks, sasa kama unawazia sana watuwatakuchuliaje ndio unaleta hiyo
3.Acha kufikilia sana vitu vilivyopita ishi sasa achana na jana, kesho
4.mimi niko kama wewe hapo number 4 na sioni tatizo
5.nipo kama wewe hapo pia suoni shida, hata niliacha kazi ili nijiajiri mwenyewe, and i love it
6.hata mimi niko hivyo, tena mi hata sipokei ushauri
Pole,Mm nna anxiety inaniletea panic attack
Naweza kupanic vitu ambavyo mtu mwingine anaona mbona kawaida.
Sijawahigi kwenda hosp najicontrol mwenyewe tu japo kwa shida.
Basi watu wangu wa karibu wameshanijua nikipanic wananiambia Relax....
Naweza kupanic kisa nmemtumia mtu sms kajibu sawa..kwamba sikutegemea ajibu ivyo[emoji23]...hapo basi ntazima adi na simu yenyewe
Mambo ni mengi wakuu/ila Tunapambana tu
Mkuu hizo zinachelewesha absorption ya chemical flan kwenye ubongo inaitwa serotonin, hii serotonin ndo inahusika na mood ,ubongo ukikosa serotonin ya kutosha ndo matatizo kama hayo yanatokea ,sijui kiundan sana maan sio daktar lakini ukiitumia baada ya muda utahisi tofauti, confidence yako itapanda na hofu itaisha utakua unachukulia mambo kawaida ,wakat mwingi e ina effect flani mbaya inakuondolea aibu unaweza adi kufanya mambo ya kijinga bila kuogopa( hii effect sio kwa kila mtu lakini). Kwa kifupi mkuu inaondoa hofu zisizo za kawaida.bro hizo dawa za escitalopram ukinywa unakuwa unajisikiaje? na mimi nkazitafute
Nimeshazunguka pharmacy maeneo ya posta sijafanikiwa