Cheki hii hapa kitu robot
Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa
ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja
usiku mme akarudi kutoka safarini na alipofika kwake akaanza kupanda
ngazi kuelekea gorofa la pili ilipo chumba lake yeye na mkewe,akakuta
kuna giza nene na hakuna umeme huku sauti nzito ikisema,''Bby shake ur
body,ur so sweet'' mme akajua kwa yvoyvote anaibiwa,Akagonga mlango kwa
hasira na mke alipofungua akashtuka sana kuona ni mmewe,mjadala ukaanza
hivi.
Mme:we mwanamke washa taa.
mke;Taa zimeungua na mshumaa umeisha.
Mme:nimesikia sauti nzito nani yupo ndani.
Mke:unajua mme wangu we unasafari ya mara kwa mara hivyo nimeamua
kununua robot ili niwe natuliza hamu yangu,yule ni robot,sijapenda
nikusaliti wala sikupenda nitembee na jirani.
Mme:Okey nakuamini,Mwenzako nina hamu sana naomba twende kitandani unipe
mambo.
Mke:Oh darling jana ilikuwa siku zangu kwahiyo hatuwez