Dawa Ya Wazinzi Imepatikana

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,219
ImageUploadedByJamiiForums1352565373.858016.jpg

Msiogope kunasana tena watu wananasua
 
Watu hawaziachii opportunities aisee; kasheshe lako, deal la mtu!
Kweli ubepari umengia Tanzoo!
 
nilizoea kuona wanyama kama mbwa wananasana na kushindwa kuachana tena kumbe na mwanadamu naye ..lol!!
 
Duuu sasa sijui hii dawa inafanyaje kazi, baada ya kunasa au inaweza kutumika kama kinga pia? Maana ni bora ifanye kazi kama kinga, maana ikifanya kazi baada ya kunasa na kwa bahati mbaya kama mganga hayupo, ndo imekula kwenu - Tutakuja kuwashangaa hospitali ya temeke!!! Haya wanawake mnaojijua ni wake za watu na mmeshindwa kutulia na waume zenu, na kuna hatari ya kutegewa tego - dawa hiyo imepatikana! Ila muwe makini na UKIMWI, maana unaweza usinase kimwili na kujikuta umenaswa na magonjwa!!!:shut-mouth:
 
MAPENZI HERBALIST CLINIK, Inawatangazia jaribio la dawa yake mpya iitwyo "MNASO" imetoa mafanikio makubwa kwa kuwanasa wagoni wa2 temeke inapenda kuwatangazia wale wote wenye matatzo ya kusalitiwa na wenza wao ofa maalum ya punguzo la 50% wahi dawa ni chache!! Ni pm
 
maisha nikuwa tu naona huyu anasema dawa ni chache lakini tengo mbona lilikuwepo tu miaka nenda rudi ni ustarabu tu nje ya hapo wangeasika wengi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom