mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,449
- 993
- Thread starter
-
- #21
Mbona ka sijaelewa vilee...
Nilikuwa nadhani makesha wa jana Parokiani umenilewesha
Kumbe hata wewe hujaelewa kama mimi .....!!!!!!!!
Hainaga dawa hiyo ukimegewa nawe tafuta manyonge ummegee...
dawa iko wapi jamani
dawa iko wapi sasa?
Shemeg njoo kijijini dawa naitoa mie...halafu sista ako anakuulizia sana
Ni siri ya MTUNZASIRI
Wanawake tunasema inapunguza maumivu tu, heshima nitajipa mwenyewe tu alaaah!!!haipunguzi maumivu inarudisha hadhi yaa Kiume...(sijui mwanamke tutasemaje hapo)
Ukimegewa nawe mega over!Kwani wale wanaosalitiwa na kusaliti wenzi wao tupo nao kati yetu, sasa why hatujihangaishi kutafuta namna nzuri zaidi ya kupunguza wahanga?
dawa iko wapi jamani
Wanawake tunasema inapunguza maumivu tu, heshima nitajipa mwenyewe tu alaaah!!!
Ha ha ha kwani umemegewa?Nataka nikumege over ......!!!!!
Ha ha ha kwani umemegewa?
No one kwa kweli....fanya kuongeza hadhi ya kiume mega tu asee!!!Kuna ambae hajamegewa??
No one kwa kweli....fanya kuongeza hadhi ya kiume mega tu asee!!!
Can u come up again? I haven't gotten yo point bro. Any body who have just understood what he meant please?
Una nini asee sijawahi pepesa macho na kujiuma uma namna hii nkiambiwa hayo maneno teh...Kwahiyo umekubali nikumege??
Una nini asee sijawahi pepesa macho na kujiuma uma namna hii nkiambiwa hayo maneno teh...
Aaah wapi sisemi ndio wala sisemi hapana hadi nijivunge vunge kwanza...Unazungumza na kidume HALISI ....over!!!!!
Hebu tupunguze longolongo
Nimekuambia nataka nikumege
Sema kama ni ndio nijue .....