mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,449
- 993
Mbona ka sijaelewa vilee...
Hainaga dawa hiyo ukimegewa nawe tafuta manyonge ummegee...
dawa iko wapi sasa?
haipunguzi maumivu inarudisha hadhi yaa Kiume...(sijui mwanamke tutasemaje hapo)
dawa iko wapi sasa?
nilikuwa najiuliza sijapata picha hivi tufanye kidume au kidada kinataka kugegedana tuu bila ndoa inawezekana kwa mdada au mkaka kukubaliana nae?
Hii bila kuhusisha kwa wale wanaojiuza?
Na kama itawezekana ni njia gani bora zaidi ya kulielezea kwa mwenza asiyekuwa rasmi?
Maana hiyo yaweza kuwa dawa kwa wahanga wa kusalitiwa kila siku labda mmoja alikuwa anataka kugegeda tuu lakini kaingia kwa sifa na gia za kuoa mwisho itasemwa wamesalitiana. Tuzungumzie hii bila hisia..
dawa iko wapi sasa?