Kwa Sheria hii inayoenda ‘ Kutungwa ‘ na Bunge la Uganda, huenda Wanaume wote wakaishia tu Jela na Wanawake Kutawala

Status
Not open for further replies.

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
Wahenga waliposema kuwa ukistaajabu ya Musa basi tegemea kuyaona ya Firauni kumbe walikuwa wako sahihi na wala hawakukosea na huenda sasa inabidi tuamini kuwa Watu wa zamani ( Mababu na Mabibi zetu ) walikuwa na Maono makubwa na hata Utume ndani yake na ndiyo maana leo hii yale yote waliyoyaacha kama Wosia wao Kwetu yanatimia moja baada ya jingine.

Ni kwamba katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayonipelekea sasa kuwaonea mno Huruma Wanaume wa nchini Uganda Bunge la nchi hiyo linajindaa Kutunga Sheria ambayo inasema kuwa Mwanaume yoyote akiwa ‘ anamlazimisha ‘ ama Mkewe au Mpenzi wake Kuendelea na ‘ Kungonoka ‘ huku Yeye ( Mwanamke ) akiwa taabani / hoi na ‘ Mkurudungu / Mboo ‘ basi atashtakiwa mara moja kwa Kosa la ‘ Ubakaji ‘ na Hukumu yake itakuwa inaenda haraka ili akafungwe na aishie Gerezani.

Kwa Lugha iliyo nyepesi kama si nyoofu yaani hapa Wanaume wa Kiganda wanatakiwa kila wanapotaka ‘ Kungonoka ‘ na hao Wake zao / Wapenzi wao basi Kwanza wawe wanawauliza je wanapenda Bao / Goli ngapi na kama Mwanamke akisema anataka tu Bao Moko ( Moja ) basi Mwanaume anatakiwa ‘ Kumchapa ‘ nalo hilo hilo tu na akizidisha tu Mwanamke akienda Kumshtaki basi Keko, Ukonga na Segerea za nchini Uganda zitawahusu kwa sana tu.

Naomba tu Mwenyezi Mungu hii ‘ Sheria ‘ isiigwe na Watanzania kwani nina uhakika wengi wetu tutamaliza ‘ Uzee ‘ Wetu Gerezani kwakuwa itakuwa ni ngumu Kwetu kupangiwa ‘ Mabao / Magoli ‘ ya Kufunga hasa ukizingatia wengine tuna ‘ Ubarikio ‘ wa Kupiga ‘ Hat Tricks ‘ kwa kila ‘ Mngonoko ‘ sasa ukituambia eti Mwanamke ndiyo atupangie hapo kutakuwa na Shida nap engine hata dhahama kutokea pia.

Poleni sana Wanaume wa Uganda ( Kiganda ) na Sheria hii ikipitishwa Kweli basi mtakuwa mmeumia.

Chanzo Taarifa: Gazeti la New Vision Online.
 
mvaa viatu

Senior Member
Joined
Nov 6, 2017
Messages
186
Points
250

mvaa viatu

Senior Member
Joined Nov 6, 2017
186 250
Kasi za hivyo huwa hazipelekwi mahakamani wanajitekenya tu hao wanaopeleka huwo muswada.ila pia mkuu kama kitangazo hivi kulikuwa na haja gani ujielezee nawewe? Sifa zakijinga hizo
 
An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
Kasi za hivyo huwa hazipelekwi mahakamani wanajitekenya tu hao wanaopeleka huwo muswada.ila pia mkuu kama kitangazo hivi kulikuwa na haja gani ujielezee nawewe? Sifa zakijinga hizo
Kuna muda mwingine unaandika na unatakiwa ' Kuinogesha / Kuichangamsha ' Taarifa kama sehemu ya Kuchochea au Kuamsha Hamasa ya Kimjadala ili Jukwaa lichangamke ila kwakuwa akili zako zina ' Matope ' mengi umekimbilia tu kuwaza kuwa labda najipigia ' Promo ' wakati nimechomekea tu Kiutani hapo. Pole sana!
 
Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
208
Points
500

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
208 500
Matatizo ya wananchi yapo kibao baada ya kutunga Sera za kiuchumi wanaangaika kutunga ujinga kama vile shida zimeisha, harafu hizi nchi zinazozungumza lugha ya malkia zinakuaje kama zina utindio Wa ubongo yani zinapeenda kuiga mambo ya kizungu kizungu wenzao wanafanya upuuz hawana shida lakin sasa wao wanashida mpaka ya kula tu lakini na bado wanaiga ujinga
Wahenga waliposema kuwa ukistaajabu ya Musa basi tegemea kuyaona ya Firauni kumbe walikuwa wako sahihi na wala hawakukosea na huenda sasa inabidi tuamini kuwa Watu wa zamani ( Mababu na Mabibi zetu ) walikuwa na Maono makubwa na hata Utume ndani yake na ndiyo maana leo hii yale yote waliyoyaacha kama Wosia wao Kwetu yanatimia moja baada ya jingine.

Ni kwamba katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayonipelekea sasa kuwaonea mno Huruma Wanaume wa nchini Uganda Bunge la nchi hiyo linajindaa Kutunga Sheria ambayo inasema kuwa Mwanaume yoyote akiwa ‘ anamlazimisha ‘ ama Mkewe au Mpenzi wake Kuendelea na ‘ Kungonoka ‘ huku Yeye ( Mwanamke ) akiwa taabani / hoi na ‘ Mkurudungu / Mboo ‘ basi atashtakiwa mara moja kwa Kosa la ‘ Ubakaji ‘ na Hukumu yake itakuwa inaenda haraka ili akafungwe na aishie Gerezani.

Kwa Lugha iliyo nyepesi kama si nyoofu yaani hapa Wanaume wa Kiganda wanatakiwa kila wanapotaka ‘ Kungonoka ‘ na hao Wake zao / Wapenzi wao basi Kwanza wawe wanawauliza je wanapenda Bao / Goli ngapi na kama Mwanamke akisema anataka tu Bao Moko ( Moja ) basi Mwanaume anatakiwa ‘ Kumchapa ‘ nalo hilo hilo tu na akizidisha tu Mwanamke akienda Kumshtaki basi Keko, Ukonga na Segerea za nchini Uganda zitawahusu kwa sana tu.

Naomba tu Mwenyezi Mungu hii ‘ Sheria ‘ isiigwe na Watanzania kwani nina uhakika wengi wetu tutamaliza ‘ Uzee ‘ Wetu Gerezani kwakuwa itakuwa ni ngumu Kwetu kupangiwa ‘ Mabao / Magoli ‘ ya Kufunga hasa ukizingatia wengine tuna ‘ Ubarikio ‘ wa Kupiga ‘ Hat Tricks ‘ kwa kila ‘ Mngonoko ‘ sasa ukituambia eti Mwanamke ndiyo atupangie hapo kutakuwa na Shida nap engine hata dhahama kutokea pia.

Poleni sana Wanaume wa Uganda ( Kiganda ) na Sheria hii ikipitishwa Kweli basi mtakuwa mmeumia.

Chanzo Taarifa: Gazeti la New Vision Online.
 
Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
704
Points
225

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
704 225
nyie Wabongo na story zenu yaaaani kama haupo makini waweza kujitia kitanzi, hii story ni ya kutunga ili mtu apate komenti nyingi. sie tuishio Ug mbona hatujalisikia hili????????????????
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,343,528
Members 515,078
Posts 32,787,526
Top