dume la kenge
Senior Member
- Apr 12, 2017
- 177
- 232
Hii imetokea hapo nchi jirani baada ya jamaa kumfumania mkewe na jibaba fulani. Aliwafungia mlango kwa nje kwanza ndo akaandika haya maandishi. Baada ya hapo ndo Inasemekana alimfungulia mkewe ,akamfukuza alafu akambakiza lile jibaba la watu mle ndani, naisi huyo ndo atakuwa new wife.