ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,529
- 21,530
Natoa Sadaka kwa maexpert wangu,mwenye kusumbuliwa na UTI Sugu achukue mahindi mabichi akatekate achanganye na limao lililo katwa katwa kisha achemshe
Ukipoa huo mchanganyiko aweke kwenye chupa kisha anywe,kwa siku kama mara mbili au tatu kwa masiku kadhaa,kwa uwezo wa Allah, shida itakuwa imeisha
Ushuhuda ni wa ndugu yangu ambaye alisumbuliwa sana na shida hiyo,akatumia ikawa historia
Ni hayo tu!