NYAMONGO KWETU
Member
- Dec 18, 2014
- 10
- 0
Kuna mtoto anasumbuliwa na utando mweupu kama vidonda mdomoni na inasadikiwa ni hatari ukishafika mkunduni.
mpeleke hospitalini, pia unapoelezea tatizo jaribu kupunguza ukali wa maneno.
asante kwa ushuri wako
nitapunguza.
neno kali sana nilikuwa nasoma kwa sauti nilivyokaribia kumaliza sentensi nimepaliwa