inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,574
Aisee we una tatizo kubwa sana...nafikiri ulilipiza yakakukuta...na unachopigia mfano ni kuchepuka tu...sasa ukiwa mja mzito au ndo umejifungua tu mume akattombe wapi!!?...Hata kwa wakristo iko hivyo lakini dunia ya leo mwanaume akimfumania mke wake jamii inamshauri amuache lakini mwanamke akimfunia mume wake jamii inamshauri amvumilie
Kwa kisingizio cha kwamba kila mwanaume anachepuka (kitu ambacho siyo kweli) na hii mitazamo ndo inawapa kichwa sana wanaume na kuwafanya mzidi kuchepuka na kuona kama vile ni jambo la kawaida
Hadi imefikia hatua mmejibadilishia na jina kabisa eti mwanaume anayechepuka haitwi malaya bali anaitwa kidume ila mwanamke anayechepuka ndo malaya ndugu zangu umalaya ni umalaya tu haijalishi unafanywa na jinsia gani
Kwa sababu kwenye maandiko ya dini zote hakuna sehemu Mungu aliyomruhusu mwanaume kuwa malaya amekataza umalaya kwa jinsia zote sasa na hapo napo mtambishia Mungu mtasema ni usawa?
Ila ukumbuke kua si kila jukumu la nyumbani unatakiwa usaidiwe edelyn..nyumba mnaweza kua na watoto wakike ina dada wa kazi...unataka nirudi kazini nianze fatilia mtoto kaoga au hajaoga kweli...dada kapika au hajapika?Now we are communicating na ninaowalenga ndiyo hao ambao wake zao wanawasaidia majukumu yao ila wao hawataki kusaidia majukumu ya wake zao na kama wewe kweli upo hivyo kama unavyosema basi HONGERA KUBWA
Moja kuna wanaume ambao wakifumaniwa wanakuwa wakali yaani kafumaniwa mwanaume ila anataka mwanamke ndo awe mpole au unakuta labda mke kashika simu ya mume akakuta meseji za michepuko akimuuliza mume mume anakuwa mkali anampiga na kumfokea eti kwanini mke kashika simu yake (wakati ni haki yake kwa sababu ndoa haina mipaka bali uchumba ndo una mipaka)umeshawahi muona mwanaume aliyechepuka akafumaniwa anavyokuaga mdogo kama pini? hata ukiamua kumpga mangumi ya uso hawezi kukurudishia...ki ufupi hutambua kua lile ni kosa wamefanya ndio mana wananyweaga kiasi kile.
SASA BASI : nyie kinachowanyima kutuzibua makofi,kutupiga kama watoto,kutupa adhabu yyte ni kitu gani? mnatufumaniaga lakini mnaishia kuongea tu na kulalamika,nani kawanyima kutupiga hata vibao kama tunavyofanyaga sisi tukiwafumania?
Hamna mwanaume anaetaka kusamehewa akifumaniwa kachepuka ila ni nyie wenyewe na huruma zenu,kwa mfano mimi nikikosea hua natamani mpenzi wangu anizabue hata KOFI ndio naonaga ananipenda nakweli kakasirika..ila nakosea hunifanyi kitu,unalalamika tuu
Mwanaume ukikosea halalamiki anakuzabua tena ipasavyo...nyie kama mnashindwa kutuadhibu tunapokosea n shauri yenu ila sisi mkikosea tunazibua tena vizuri tu...
Labda unambie ni mwanamke gani kamfumania mume wake akaamua kumuacha Jamiii ika mua attack au mume akamfata akamlalamikia kwanini umeniacha...HURUMA ZENU ndio zinawaponza..wanaume wako real ila nyie mnakerwa mnakasirika badala muonyeshe hisia kwa vitendo mnaongea tu..
kwenye swala la adhabu tusilalamikiane ni uzembe wenu wenyewe.
Sasa mbona umerudi kule kule ambako ulinipinga mwanzo?Babu kuhudumia familia(kujenga,mkate wa kila siku) bibi kulea familia
Na akikupiga utamsamehe tu na maisha yataendelea vizuri au?Ruksa kunipa adhabu utakayo kama utagundua nimekudanganya..maana mimi ukinidanganya na ukweli naujua nakuzibua kofi..so kama wewe ukiamua kuni flash ni wewe hiyo.
aina hiyo ya wanaume sasa..ni vizalia vinavyoenda kuishia ishia,ukikutana nae elewa tu umekutana na species za mwisho mwisho ila wataisha tu nao.Moja kuna wanaume ambao wakifumaniwa wanakuwa wakali yaani kafumaniwa mwanaume ila anataka mwanamke ndo awe mpole au unakuta labda mke kashika simu ya mume akakuta meseji za michepuko akimuuliza mume mume anakuwa mkali anampiga na kumfokea eti kwanini mke kashika simu yake (wakati ni haki yake kwa sababu ndoa haina mipaka bali uchumba ndo una mipaka)
Pili usiseme kwanini sisi hatuwapigi wakati mnajua kabisa kuwa wanaume mmetuzidi nguvu wanawake hilo lipo wazi ukikuta mwanamke anapigana na mwanaume bila kutumia silaha na anamshinda basi huyo labda bondia tu lakini kikawaida tu hatuna nguvu za kuwapiga na ndo maana tunaishia kulalamika na ukizingatia tulishaambiwa tuwatii na mkikosea tuwarekebishe kistaarabu sasa kuna wanaume hata kurekebishwa kistaarabu hawataki na wala hawataki kubadilika yaani kwa kifupi wao wanataka wakifanya makosa wake zao wakae kimya tu wawaache kama walivyo na wanaona ni sawa tu
nipige tu...kupiga kwaa aina gani kwanza maana sio tunapgana kama watoto...nipige kama ninavyokupgaga ukikosea makofi sawa ila sio ukachukue panga uje unianzishieNa akikupiga utamsamehe tu na maisha yataendelea vizuri au?
We ni mlokole wa haki za wanawake waliokombolewaSasa mbona umerudi kule kule ambako ulinipinga mwanzo?
Endelea kuamini hivyo hivyo ila imani yako haibadilishi ukweli na sema ni vile tu nyumbani tuna wafanyakazi maana mimi na mume wangu wote tunatafuta pesa na tunahudumia familiaWe
We huoleki na hupo ndoani...we ni lazima utalilia zamu za kupika na kupiga deki
Endelea kuamini hivyo hivyo ila imani yako haibadilishi ukweli na sema ni vile tu nyumbani tuna wafanyakazi maana mimi na mume wangu wote tunatafuta pesa na tunahudumia familia
Kwahiyo kama mkeo anakusaidia kutafuta pesa yaani mnatoka kazini alfajiri na mnarudi nyumbani usiku bado tena utataka mkeo ndo afanye kazi zote za ndani peke yake bila hata kumsaidia?
Akishindwa aondoke..ntaoa atakaewezaEndelea kuamini hivyo hivyo ila imani yako haibadilishi ukweli na sema ni vile tu nyumbani tuna wafanyakazi maana mimi na mume wangu wote tunatafuta pesa na tunahudumia familia
Kwahiyo kama mkeo anakusaidia kutafuta pesa yaani mnatoka kazini alfajiri na mnarudi nyumbani usiku bado tena utataka mkeo ndo afanye kazi zote za ndani peke yake bila hata kumsaidia?
Sawa basi pia na wewe kumhudumia mkeo ni jukumu lako haijalishi ana kipato chake au hana maana yeye kutafuta pesa siyo jukumu lake ni anakusaidia tuKusaidia isiwe deni..maana unavyosound ni kidenideni..lazima pawe na mgawanyo wa majukumu
Sisi waislam hilo halitusumbui..imeelezwa kwenye quraan malazi na chakula na mavazi ni juu ya mumeSawa basi pia na wewe kumhudumia mkeo ni jukumu lako haijalishi ana kipato chake au hana maana yeye kutafuta pesa siyo jukumu lake ni anakusaidia tu
Hilo swali muulize Mungu aliyetuambia tusifanye uzinzi wala uasherati maana hayo yote alishayajua mapema kabla hajaweka sheria zake lakini jiulize kwanini aliziweka? Ni kwa sababu alijua kuwa kamuumba kila binadamu (haijalishi ni mwanaume au mwanamke) na uwezo wa kuvumilia kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa na ndo maana akakataza uzinzi na uasheratiAisee we una tatizo kubwa sana...nafikiri ulilipiza yakakukuta...na unachopigia mfano ni kuchepuka tu...sasa ukiwa mja mzito au ndo umejifungua tu mume akattombe wapi!!?...
Mungu kapendekeza mwanaume aoe wake wawili..kitu ambacho hukipendi tenaHilo swali muulize Mungu aliyetuambia tusifanye uzinzi wala uasherati maana hayo yote alishayajua mapema kabla hajaweka sheria zake lakini jiulize kwanini aliziweka? Ni kwa sababu alijua kuwa kamuumba kila binadamu (haijalishi ni mwanaume au mwanamke) na uwezo wa kuvumilia kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa na ndo maana akakataza uzinzi na uasherati
Kwa maana kwamba hakuna madhara yoyote makubwa unayopata ukikosa tendo la ndoa kwa muda mrefu mfano kufa au kuumwa (achana na hizi tafiti uchwara za madaktari na sijui upuuzi gani) hivyo basi kipindi ambacho mwanamke anakuwa hayuko katika hali ya kufanya tendo la ndoa ni kipindi ambacho mwanaume ana uwezo wa kuvumilia tena vizuri tu na asipatwe na madhara yoyote makubwa
Kwahiyo wanaume wote wanaosaliti wake zao wakati wakiwa wajawazito au wananyonyesha hao wanafanya makusudi na wanajiendekeza tu na siyo kwamba eti hawawezi kuvumilia na mara nyingi inakuwa ni tabia yao tu kuchepuka ila wanatumia hayo mazingira ya mke kuwa hivyo kama visingizio tu
Lakini kama kweli Mungu angetaka mwanaume awe na mwanamke zaidi ya mmoja basi angemuumbia Adam mwanamke mwingine asingemuumbia Evah peke yake na pia asingekataza uzinzi na uashaerati sasa nakushangaa wewe unavyosema mimi nataka usawa wakati mimi haya yote natoa kwenye maandiko hakuna nilichojitungia hapo hakuna cha usawa wala nini kubalini tu ukweli
Akishindwa aondoke..ntaoa atakaeweza
Sisi waislam hilo halitusumbui..imeelezwa kwenye quraan malazi na chakula na mavazi ni juu ya mume
Mimi ni mkristo na ninajua kuwa wanaume waislam mmeruhusiwa wake wanne ila siyo kwamba hatujui kuwa mmepewa masharti ya kuwatreat wote kwa usawa bila ubaguzi lakini je ni wanaume wangapi wameoa wake wanne na wanafanya hivyo?Mungu kapendekeza mwanaume aoe wake wawili..kitu ambacho hukipendi tena