DAWA YA UPWEKE NI NDOA

nakunywa maziwa na nakula nyama kila siku nifuge ili iweje sometimes comrade unayumba na wewe

uoni haya makunguru box yanalilia huko ndoani yamejifunga yenyewe yanatamani kuwa kama sisi asilimia 70 wengi hawana furaha
 
Wanaume wanao saliti na kunyanyasa wake zao hawajitambui na hawajielewi and vise versa
Bora umuacha mke au Mume kuliko kusaliti na kumnyanyasa
 
Wanaume wanao saliti na kunyanyasa wake zao hawajitambui na hawajielewi and vise versa
Bora umuacha mke au Mume kuliko kusaliti na kumnyanyasa
Mmhh sasa mbona kama unawaongelea wanaume wote? Maana wanaume mnasemaga wenyewe kuwa hakuna mwanamke asiyechepuka
 
Nimemaanisha mnasemaga kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka
 
Mmhh sasa mbona kama unawaongelea wanaume wote? Maana wanaume mnasemaga wenyewe kuwa hakuna mwanamke asiyechepuka
Hata usiwa amini hao wanaosema hivyo .wanaume tumetifsutiana kama nyie wanawake mlivyo tofauti ..sio wote wako interested na kuchepuka .trust me
 
Nimemaanisha mnasemaga kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka
Kuchepuka ni tamaa za mtu tu .hata wanawake wanachepuka sana sema huwa semi hadharani..alafu wanavyosema mwanaume lazima achepuke hizo ni story tu za jf usiziamini sababu unaweza ukakutatana na mwanaume anaekupenda kweli akajilinda asichepuke alafu wewe uka mdharau kwa sababu ya uaminifu wake .kwa sababu ulisoma kauli za jf kuwa lazima mwanaume achepuke
 
Hata usiwa amini hao wanaosema hivyo .wanaume tumetifsutiana kama nyie wanawake mlivyo tofauti ..sio wote wako interested na kuchepuka .trust me
Ni kweli ila ni wachache sana kama huyu niliyenaye
 
Ndiyo na hizo kauli ndo zinawaponza wanaume wengi wanakuja kujitutumua humu kuwa wanaume wote wanachepuka na wanataka wanawake wote tuamini hivyo sasa wanawake tukiamini kweli na tukiingia na mawazo hayo kuwa kila mwanaume anachepuka halafu tusipowaamini kwenye mahusiano mnasema hatupendeki
 
kipepe acha zako, leo porini hujapata windo nn mbona povu sana ? alafu comrade kipepe hana kitanda analala nyikani.
 
Hongera kwa kumpata huyo wako mwaminifu

Lakini usije kuchepuka(jokes)
I can't, yaani kuliko nichepuke mimi bora hata achepuke yeye angalau inamake sense, sijasema afanye makusudi ila angalau kwa mwanaume inamake sense japo wanaume wengi wanachepuka kwa kujiendekeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…