Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Kama ulishalijadili, kwani umelazimishwa kujadili tena? Au wewe ndio unatoa ruhusa ya mijadala hapa?Hili tushalijadili hapa kabla halijaandikwa Mwananchi.
Talking as if unamsuta aliyeleta mada. Yeye bila shaka sio Mtaalam wa madawa kama wewe, namuombea msamaha kwako mheshimiwa mjuvi wa kila kitu.Katika miaka mitano hiyo hizo strains zote za UKIMWI zitakaa tu zinawasubiri nyie na hiyo dawa yenu?
Sasa sijui hii unamuaddress nani, mtengeneza dawa au sisi tunaochangia. Kitu kimoja nilichokiona cha hatari hapa ni kwamba, kuwa na mwanamke wa dizain yako kama mke ni janga. Kiherehere cha namna hii sio haiba ya kike. Yaani umefikia kiwango cha kiherehere cha kudhania kwamba, kama sisi hatujui hata mtengeneza dawa hajui. Kwa hiyo ww ndio una akili saaana kiasi cha kuona hamna haja ya kujisumbua, ni kukaa tu chini na kukubali matokeo kwa kuwa microbes are not static?!!!What you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.
Nilifikiri umegundua wewe, kumbe wao hao hao. Enhe, kwa hiyo hii inahusianaje na ukimwi labda?Washagundua kuna mbu huko Thailand anaeneza strain ya Malaria ambayo hai respond kwa madawa makali kabisa tuliyo nayo ya Mlaria.
Una laana ya majisifu wewe sio bure. Yaani unataka kuniambia maabara zooote duniani zinazohangaika kutafuta tiba ya UKIMWI hawana akili wewe ndio unajua saana kuwa ukimwi sio kitu kimoja?UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Hili uliligundua wewe au hao hao wanaotafuta tiba?Ni virusi tofauti vinavyo evolve bila kutabirika.
Mimi naona kuanzia sasa 'relaible' source yangu ni wewe manake unajua sana kuliko hata hao watengeneza dawa. Leo umenifumbua macho kuwa HIV si kitu kimoja kwa hiyo yeyote anayesema amepata dawa yake ni mwehu.So at best this is a cat and mouse game.
Sorry to burst your bubble.
Halafu usiamini hayo magazeti ya kibongo vichwa vya habari vikuubwa wanataka kuuza copies tu, fuata relaible sources uone challenges halisi zilizopo.
yaani wewe ukiugua halafu uka mbishi wa kumeza dawa tutakuwa tunakumiminia tu!!sio pengo mkuu huo ni mwanya
Kama ulishalijadili, kwani umelazimishwa kujadili tena? Au wewe ndio unatoa ruhusa ya mijadala hapa?
Talking as if unamsuta aliyeleta mada.
Yeye bila shaka sio Mtaalam wa madawa kama wewe, namuombea msamaha kwako mheshimiwa mjuvi wa kila kitu.
Sasa sijui hii unamuaddress nani, mtengeneza dawa au sisi tunaochangia.
Kitu kimoja nilichokiona cha hatari hapa ni kwamba, kuwa na mwanamke wa dizain yako kama mke ni janga. Kiherehere cha namna hii sio haiba ya kike. Yaani umefikia kiwango cha kiherehere cha kudhania kwamba, kama sisi hatujui hata mtengeneza dawa hajui. Kwa hiyo ww ndio una akili saaana kiasi cha kuona hamna haja ya kujisumbua, ni kukaa tu chini na kukubali matokeo kwa kuwa microbes are not static?!!!
Nilifikiri umegundua wewe, kumbe wao hao hao. Enhe, kwa hiyo hii inahusianaje na ukimwi labda?
Una laana ya majisifu wewe sio bure.
Yaani unataka kuniambia maabara zooote duniani zinazohangaika kutafuta tiba ya UKIMWI hawana akili wewe ndio unajua saana kuwa ukimwi sio kitu kimoja?
Hili uliligundua wewe au hao hao wanaotafuta tiba?
Mimi naona kuanzia sasa 'relaible' source yangu ni wewe manake unajua sana kuliko hata hao watengeneza dawa.
Leo umenifumbua macho kuwa HIV si kitu kimoja kwa hiyo yeyote anayesema amepata dawa yake ni mwehu.
Nikushukuru pia kwa kuipatia dunia tiba ya Tauni, TB, Smallpox, Chickenpox, Malaria na Kaswende. Naamini kwamba, ni uzoefu ulionao wa kuipatia dawa dunia ndio umekupa nafasi ya kuona kwamba hakuna mwingine anayeweza kuipatia dunia tiba ya ukimwi ikiwa wewe umeshagundua kuwa 'zis maikrobs aa not statik'.
Fact gani ya Mwananchi?
Miaka mitano si mingi kwa hiyo HIV haiwezi ku develop a different strain katika miaka mitano?
Akili za chuoni hizi, ukiambiwa kitu na pro mara mbili tatu unajenga mkichwa mkuuubwa na kudhania wewe ndio unajua zaidi ya Newton.
Toleo la kwanza kabisa la Chloroquine lililazimu mtu kumeza vidonge vingi sana ili apone. Kadiri muda unavyoenda maboresho yalifanywa na matoleo kadhaa yakafuata. Miaka imepita, tukatangaziwa kuwa Chloroquine haitibu tena Malaria, tukapatiwa mbadala na maisha yanaendelea.
Computer ya kwanza ilikuwa kubwa ikajaa chumba kizima na mafeni yakafungwa kuipooza. Leo maendeleo ya sayansi yameiweka computer kiganjani. Ile ya kwanza itabakia kuwa ya kwanza, na huo ndio mtindo wa mavumbuzi.
Ndege ya kwanza ilikuwa wazi, uchi kabisa na aliyeipanda alikuwa nje tu na helmet yake. Leo unakaa ndani unaangalia video na kiyoyozi.
Haya unayoyaongea kwa wasiwasi wao wanayajua. Weka tofauti sayansi ya mavumbuzi na sayansi ya mazungumzo hii ulionayo wewe. Kama ilipatikana dawa ikafubaza virusi, basiitapatikana tu ya kuviua ni suala la wakati. Acha kiherehere!
Hili tushalijadili hapa kabla halijaandikwa Mwananchi.
Katika miaka mitano hiyo hizo strains zote za UKIMWI zitakaa tu zinawasubiri nyie na hiyo dawa yenu?
What you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.
Washagundua kuna mbu huko Thailand anaeneza strain ya Malaria ambayo hai respond kwa madawa makali kabisa tuliyo nayo ya Mlaria.
UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Ni virusi tofauti vinavyo evolve bila kutabirika.
So at best this is a cat and mouse game.
Sorry to burst your bubble.
Halafu usiamini hayo magazeti ya kibongo vichwa vya habari vikuubwa wanataka kuuza copies tu, fuata relaible sources uone challenges halisi zilizopo.
Kuna swali la kipuuzi umeuliza eti ni wapi umesema kwamba maabara zote wanaofanya utafiti wa tiba ya ukimwi ni wajinga. Huna haja ya kusema directly, hizo red zinamaanisha hivyo, hususan hapo nilipopigia mstari.
Na ndio nikakueleza kuwa wewe una kiherehere. Tiba zooote zilizovumbuliwa zilikumbana na changamoto. Na hata hao hawajatangaza biashara ya dawa, wamezungumzia tu development ya utafiti wao, lkn wewe unayejifanya ujuaji umekuja na kukosoa eti haitawezekana kwa kuwa microbes sio static, ndio nikakuuliza kwa hiyo wanaofanya utafiti hawajui kuwa microbes sio static au ni wajinga?
Acha kiherehere!
Bottom line kusema kwamba "dawa ya UKIMWI imepatikana" wakati "dawa" yenyewe haijapita hata process ya majaribio ya miaka mitano ni kukurupuka.
Moja ya misingi ya muhimu kabisa katika sayansi ni kwamba hufanyi conclusion kabla ya kumaliza majaribio.
Unamaliza majaribio kwanza ndo unafanya conclusion kama dawa imepatikana au haijapatikana. Inawezekana "dawa" si dawa.
"Dawa" sumu.
Kama kawaida, linking the unlinkables.
Mimi maandiko yangu yote yanazunguka concept nzima ya "dawa ya UKIMWI imepatikana". Kitu ambacho hakijasemwa na hao wanasayansi, kwa sababu bado wako katika majaribio.
My ire is towards the misleading Mwananchi headline.
But I know you will never get that through your head, and even if you will, you have a penchant for being the anti-pope.
UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Kwani maneno haya hukusema wewe? Hapa ulikuwa unaongelea wakati muafaka wa kufanya conclusion au uwezekano wa jumla?
Hiki ni kiherehere tu, hamna la zaidi. Ni kupenda kujifanya mjuvi zaidi wa walioko maabara.
UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Kwa hiyo hapa ulikuwa unakanusa kauli ya mwananchi?
Kiherehere wanacho hao wanaosema wamepata dawa ya UKIMWI kabla ya majaribio, na wewe unayetetea ujinga huo.
Sio mimi ninayeonyesha kunahitajika a paradigm shift katika sayansi ya tiba, enzi ya "dawa" kama penicillin ishapita.
Acha kuzungukazunguka, nipe jibu straight: UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba. Ukosoaji huu ulikuwa dhidi ya gazeti la mwananchi au dhidi ya concept kwamba tiba ya ukimwi yawezekana?
Mwananchi wameandika headline dawa imepatikana, mimi sio tu napinga (sio kukanusha, kuna tofauti) headline ya Mwananchi.
Napinga approach nzima ya "silver bullet pill".
Good! Kwenye post yako ya kwanza kwenye uzi huu, ulisema kwamba hii mada mlishaijadili hapo kabla. Mliijadili baada ya mwananchi kuandika au mlijadili juu ya uwezekano wa tiba ya ukimwi kupatikana?
Silver Bullet Pills nazozifahamu mimi ni Male Libido Enhancement Pills, zinahusianaje na mambo tunayoongea hapa kuhusu uwezekano wa kupatikana tiba ya ukimwi?
Uliza thread upewe uangalie mwenyewe, naweza kukupa jibu la kujipendelea.
Obviously unabishana katika vitu usivyovielewa, hata an offhand reference to a cure-all solution escapes you, sasa nitategemeaje uwe na umakini wa kuelewa kwamba "dawa" si dawa kama haijapita majaribio?
Kwa faida yako ili upanue mawazo na kuweza ku interpret "silver bullet" in a broader sense ona hapa chini.
Silver bullet - Wikipedia, the free encyclopedia
The term has been adopted into a general metaphor, where "silver bullet" refers to any straightforward solution perceived to have extreme effectiveness.
Hiki ndio nilichopata kwenye wikipedia, fine.
Unafikiri lilikuwa jambo sahihi
utumia misamiati
iliyo nje ya mazingira yetu
ikiwa lengo lako lilikuwa nikuelewe?
Nachoona hapa ni muendelezo wa yale yale maradhi ya kupenda sifa. Fine with tha, let it pass.
Unaweza kuandika hivi kama una utapiamlo wa akili.Ikiwa ulipinga approach nzima, ina maana una ukosoaji wao unajenga dhana kwamba ''Hauna uwezekano wa tiba ya ukimwi kupatikana''
na kudhihirisha hilo ndio ukaandika UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba na ukaongezea kwambaWhat you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.
Swali langu hapa ni kwamba, ambao hawajui kuwa 'microbes are not static' ni sisi tunaosoma mwananchi au hao wavumbuzi?
Kwa mtizamo huo unaoanikizwa na hizo kauli zako mbili, unaona kwamba dawa ya ukimwi haiwezi kupatikana kwa kuwa microbes sio static au?