Dawa ya UKIMWI yapatikana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya UKIMWI yapatikana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Revolutionary, Jun 6, 2011.

 1. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari zinatapakaa mtanaoni kuhusu kupona kwa mtu [Timothy Brown] aliyekuwa anapatiwa tiba ya ugonjwa huo huko marekani.

  Kuna habari sehemu mbalimbali mtandaoni ikiwemo kwenye link hii hapa chini!

  The Man Who Was Cured of HIV and What It Means for a Cure for AIDS -- New York Magazine

  Kwa wale wanaotumia yahoo habari hii ilikua ni moja kati ya headlines humo pindi ukiingia. tujuzane zaidi tupate uhakika!

  Sasa isije kuwa wamarekani wanatulia 'TIMING' sie tunambwela tu, baada ya kujua dawa yety ya babu MWASAPILE inatibu UKIMWI, SERIKALI YETU INGEKUWA NA AKILI INGEFUATILIA kitaalamu/Kisayansi DAWA ya BABU ili tuwe wa kwanza kuitangaza!
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Stem cell transplant kwa Africa ni ndoto...
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  longo longo tu hizo kaka, wew tumia kondom au jifunze kusema hapana au kuwa na mpenzi mmoja au oa kabisa full stop hizo zingine ni mbwembwe tuuuu
   
 4. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni ndoto kweli sie tutabakia tu migariga yetu!
   
 5. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo dawa ni kuoa kabisaaa!
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ukio vidumu....
   
 7. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Nimekutana na Jamma Mmja ananiamini sana katika ushauri, ila kwa hili nilishindwa kumsaidia

  Embu nipeni tip za uhakika hasa wa sababu ya mwili kuwasha na tiba ni nini haswa? Wataalam neneni kwa mapana tafadhali

  Hii itasaidia pia wengine katika mtandao.
  It will look proffessional to support this, plases lets go out of politcs for a while!
   
Loading...