Tangu jana leno lowassa halikosekani mdomo mwa mana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nanukuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...NA BADO HII RAUNDI ONE
Wewe hujasikia yaliyojiri huko Dodoma, kauli yako inaweza kubadilika na kuwa dawa ya hao wote waliokwisha tangaza nia ni Mwigulu, na kesho kauli inaweza kubadilika tena. Bado mapema tuwape muda kwa sababu katika wale wote waliotangaza nia bila kujali umaarufu wa kila mmoja wao mwisho wa siku atatakiwa atabaki mmoja, upo hapo
Tangu jana leno lowassa halikosekani mdomo mwa mwana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nanukuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...NA BADO HII RAUNDI ONE
Kaka VP battan zimegoma
Rudia tena leo baada ya wengine kujitokeza uone kama hakuliwa tu pesa. Hata dagaa hakatai chambo ila kumvua kwa ndoano ni kazi kwelikweliTangu jana leno lowassa halikosekani mdomo mwa mwana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nanukuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...NA BADO HII RAUNDI ONE