Dawa ya UKAWA ni lowassa peke yake.

Dawa ya UKAWA ni lowassa peke yake.

Shobi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,401
Reaction score
4,371
Tangu jana neno lowassa halikosekani mdomo mwa mwana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nanukuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...NA BADO HII RAUNDI ONE
 
yaani ibubu wa lowasa ndo iwe dawa kwa ukawa ?thubutu
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀😀😀😁😀
 
Huduma za afya.elimu kufa tena kama el atashinda urais
 
Tangu jana leno lowassa halikosekani mdomo mwa mana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nakuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...

Duh ndoto izi za mchana very interested. KIVIPI unamlinganisha uyu fisadi maarufu dunian na ukawa waadilifu. wewe ni zaidi ya bwabwa
 
Sisi ukawa hatumuogopi kandidati yoyote yule toka ccm! Ccm mmebakia na majeshi tu lkn watu wanaowaunga mkono hamna! Yaaani... mwaka huu tutaona!
 
Duh ndoto izi za mchana very interested. KIVIPI unamlinganisha uyu fisadi maarufu dunian na ukawa waadilifu. wewe ni zaidi ya bwabwa

waulize ndugu zako kwann keep you post utakujapata wendawazimu muda si mrefu
 
Sisi ukawa hatumuogopi kandidati yoyote yule toka ccm! Ccm mmebakia na majeshi tu lkn watu wanaowaunga mkono hamna! Yaaani... mwaka huu tutaona!

nione mara ngap nakusikitikia ww usije elewa tuko wap...
 
Tangu jana leno lowassa halikosekani mdomo mwa mana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nanukuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...

Yaah,lowassa ndio mgombea wa ukawa,wengi hawajui hii.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀😀😀😁😀

Kaka VP battan zimegoma
 
Tangu jana leno lowassa halikosekani mdomo mwa mana-ukawa kila saa lowassa...lowassa.Wengi watapata ukichaa october...Nanukuu kingunge Tutakwenda mpaka kieleweke...NA BADO HII RAUNDI ONE

Mbona Lowasa hatadumu mpaka Oktoba kabla ya kumaliza mchakakato ndani ya ccm! Unajitoa ufahamu kiasi hicho? Basi utakuwa na matatizo ya kiakili kama hukumbuki EL anakashfa kiasi gani bila kujisafisha au kusafishwa kama mlivyozoea kusafishana huko ccm! Dawa ya UKAWA ukaitafute kwingine sio kwa Lowasa! Hawezi kabisaaaa!
 
Back
Top Bottom