Dawa ya ugonjwa wa hofu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Hallo ndugu zangu,

Nitangulize kusema mimi sio mswahili ila najitahidi kuhandika kiswahili even If na kosea saana. Lengo la mimi kuandika ujumbe huu nataka kuwa saidia wenzangu ambao Wana sumbuliwa na matatizo ya mstuko wa hofu. Kuna watu wana sumbuliwa na matatizo haya na wengi wamesha poteza pesa ili wapone Lakini wapi.

Mimi nilipata ugonjwa wa hofu Mwaka huu siku Ambayo nilipata ajali mpaka nikawa na pata maumivu makali nika fikiri ndo napotea dunia hivi. Kumbe yale mawazo yangu yalibaki akilini mwangu nikawa nakumbuka kumbuka matukio hayo na kila nikikumbuka najikuta nimejawa na hofu ya kuogopa kifo hatari. Nilipewa ushauri na madocter na marafiki Lakini wapi hali hiyo iligoma kutoka mwilini mwangu.

Nini nili fanya?

Siku moja nika sikia akili yangu ina ni ambia hofu uwezi ikimbia cha kufanya wewe zoea hofu hiyo ifanye kuwa rafiki yako

Nikawa na fanya ivi kila siku na hakikisha na angalia video au kukumbuka vitu vile vinavyo nipa hofu mwili wangu ukawa una jawa na hofu kweli kweli. Nikiona imekuwa nyingi nahoga maji ya baridi alafu natoka nyumbani na zunguka mitaani. Nilizoea hali iyo mwishowe nikawa naona ni kawaida tu.

Mimi ivi siogopi kifo au kuwazia wazia kifo. Na Hata nihona abari za kifo siogopi Tena nimepona au kukumbuka matukio.

Kwa iyo dawa ya hofu sio kukimbia abari zinazo kupa hofu Maana utakimbia Leo kesho itakujia Tena wewe zoea tu kubali uteseke Ukizoea mwishowe utakuwa naona ni kawaida tu.

Masharti

Utakapo kuwa unasikiliza abari za vitu vinavyo kupa hofu hakikisha apo pawe na watu

ukitoka nyumbani hakikisha una sikiliza mziki Tena mziki ambao utakufanya ucheze

Tatu ukiwa na hofu ya ugonjwa fulani moyo wako utakapo jawa na hofu. Hakikisha usikatehe hali hiyo wewe kubali ikutese
Iwazie kweli kweli na uku una fanya kazi zako zingine.

Ndo hivyo
 
Tatizo la hofu halitibiwi kwa kuzoea hofu bali kuiondoa. Na njia ya kuondoa hofu ni kuondoa ujinga (kukielewa) wa kinachokutia hofu na kuwa na imani kwa Mungu wako.
 
Mimi nina hofu tofauti kabisa na ya kwako

Yaani nahisi imechanganyika na aibu,kila nikipewa nafasi ya kuongea mbele ya watu wengi napoteza kabisa umakini na kuanza kutetemeka ovyo,hali hii imenitesa sana
 
Back
Top Bottom