Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,212
ahahaah [emoji3]Kuna jamaa alidondosha simu mbele yangu akiwa anakimbia maeneo ninapoishi. Nikaiokota ile simu nikaifungua nikijaribu kutafuta contact ya karibu nimjulishe anitafute nimrudishie simu yake.
Ile simu ilifungukia whatsapp, mojawapo ya chats ilikuwa na DP ya mtoto mmoja mkali sana, nikajikuta nimefungua kuangalia picha zake nyingine. I was immediately hooked.
Niliichukua namba ile, nikaisave kwenye simu yangu for future use. Sikutaka kuipaparikia na sikutaka kufanya makosa.
Nikaukumbuka uzi wa RRONDO huu. Siku moja nikacheki nikaona DP ya graduation ya chuo, nikachapa muamala wa hela ndogo tu, less than 50k. Nikauacha ukae.
Masaa kadhaa baadae, nikamtext na kujitambulisha na kumfahamisha kuwa nimekosea kutuma pesa kwake. Akaconfirm. Nikamwambia naona umegraduate, congrats. Naomba huo muamala uwe zawadi yako ya graduation, if you are comfortable with it.
The rest is history.
Pesa za miamala au?Nilishaga wahi kugegeda mademu wa nne kwa nyakati tofauti
Wawili namba zao nilizichukua kwenye akaunti zao facebook
Na wawili namba zao nilipewa na watu wao wa karibu bila ridhaa yao
Nilikuwa naulizwa hilo swali ila nilikuwa nalijibu kijanja sana na nilijikubali hakika
Ila cha muno uwe na hela/pesa/fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una sifa hizo?Mke mwema kwanza anasifa hizi.
Hulka nzuri
Hana haraka yakujibu mtu ovyo
Anaheshima na ni anajitambua ni mwema.
Hana papara kwenye maamuzi basi hiyo ndio sifa zake.
Na hana tamaa na hela ambazo sio zake.
Hata kama anashida nazo ila kama unajitambua utamuhudumia ili afurahi..
π π π π πlaki mbili yote hiyo, mrushie vocha ya buku, mwambie akate jero, akurudishie jero, done.
Sio swali tu unarahisisha mengi
mwamba upo sahihiWhy utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe
Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
[emoji122][emoji122]Why utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe
Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
Busara sana hii mkuuWhy utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe
Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka