Kuna watu hilo swali ni gumu kwao. 200k ni mfano inaweza kuwa 20k/30k etcWhy utumie laki mbili kufahamiana tu na mtu?
mwambie tu ukweli nimeipata namba yako sababu nilikua nna shida kubwa ya kufahamiana na wewe
Akikataa..huwezi jua kitu gani kimekuepuka
200k mfano tu, inaweza kuwa hata 20k. Hapa unakuwa ushaonesha ustaarabu na wewe si mbahili na kwa dada zetu hivyo vitu viwili vina nguvu Sana kwaoHahahaa.!!
Hapa naamini unazungumza na wale ndugu zake Kiduku, maana huyo mtanzania wa huku duniani hizo laki mbili ambazo ndo mshahara wake anaanzaje kuzichezea hivyo mkuu??
Kuna watu hilo swali ni gumu kwao. 200k ni mfano inaweza kuwa 20k/30k etc
Yeah' this are words now.!! though wanaume wanapaswa warekebishe sana approach zao maana naamini asilimia kubwa ndo zinawafelisha, sometimes ladies ain't that complicated!!200k mfano tu, inaweza kuwa hata 20k. Hapa unakuwa ushaonesha ustaarabu na wewe si mbahili na kwa dada zetu hivyo vitu viwili vina nguvu Sana kwao
Hata buku 2 siyo lazima lakiYeah' this are words now.!! though wanaume wanapaswa warekebishe sana approach zao maana naamini asilimia kubwa ndo zinawafelisha, sometimes ladies ain't that complicated!!
You miss the point