DAWA YA PC ZINAZOPIGA SANA "MB ZA INTERNET"

DAWA YA PC ZINAZOPIGA SANA "MB ZA INTERNET"

Mi nilishangaa sana maana nilishusha windows mara tatu lakini kila nilipokuwa nikimonitor internet nilikuta store ndo inakula internet bundle, nikaamua kufanya update za apps zote cha ajabu siku iliyofuata nikakuta tena apps zote zinadai update, 1GB ilikuwa inachukua minimum 4mins na maximum 15mins kuisha, hii ilinilazimu kurudi Linux
Ni kawaida tu mkuu, Windows wako kibiashara zaidi. Kwa hiyo unaweza ukawa unazuia updates kwenye windows update settings. Unaweza kuwa unawasha updates pale unavyoona unahitaji kufanya updates. Hilo swala la upadates kujirudia ndani ya muda mfupi nimekutana nalo last week lakini ilikuwa kwenye android nikawapiga chini siwezi kwa na update kila siku....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom