Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,400
Kwa kutumia common sense tuangalie hio heartburn au acid reflux inasababishwa na nini na vipi namna ya kuzuia.
Mimi nakumbuka nilipokuwa nasma shule za bweni nilikuwa nikisumbulia na tatizo hili lakini nikalikabili.
Heartburn inasababishwa na vitu vifuatavyo:
Chai, kahawa na vinywaji vyote zilivyo na caffeine
Caffeine inasababisha kulegeza misuli ya tumbo na kusababisha mabaki ya chakula kilichosagwa ku-reflux(ujazo) kwenda kwenye esophagus.
Chocolate
Chocolate inakitu kinaitwa theobromine ( kitu kinachopatikana kwenye mimea kama cocoa, chai na kahawa), ambayo pia inalegeza esophageal sphincter muscle,(mshipa wa njia ya chakula) na kusababisha chakula chenye acid kujirusha juu kwenda kwenye esophagus.
Vyakula vya kukaanga na vyenye mafutamafuta
Vyakula hivi zinachelewesha usagaji wa chakula na kusababisha kuweka chkula hichihichi kwenye tumbo kwa muda mrefu, hali inayosababisha mfumuko wa chakula hicho kwennda tena kwenye njia ya chakula. Ndio utakuta unabeua kila wakati.
Nyanya
Pombe
Pombe inaongeza acid tumboni.
Sigara
Kula chakula kingi kupita kiasi
Juisi za makopo
Citrus fruits and juices
Kula masaa 2 au matatu chakula kingi kabla ya kulala.
Namna ya kupunguza au kuondokana na tatizo hili ni kuondokana na utumiaji au kula kiasi na kwa wakati muafaka kwa mfano unaweza kula chakula cha jioni kwenye saa moja za jioni na sio kula saa nne ya usiku tena ukiwa online kwenye JF.
Haya ni maoni yangu tu kutokana na experience.