Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Kila kukicha malalamiko kuhusu nguvu za kiume yamekuwa yakiongezeka, kundi kubwa la hawa watu wamekuwa ni wanaume wa mjini, hii ni kutokana na kwamba wanaume wengi wa mjini ni wabishi kufata hali halisi ya kuwa mwanaume inabidi awe ngangari, mwanaume unakuta anakula chipsi mayai eti ndo unajisifu unakula chakula kizuri.
Mwanaume hufanyi zoezi hata mara moja kwa wiki ni kero, mwanaume unafunga bao moja kwa kwa dakika 5 afu ukimakiza unakoroma utafkiri hadi asubuhi maskini mwanamke wa watu ndo hata hujawahi kumfikisha hivi unafkiri hatachepuka.
Kiufupi hapo mke wako atafanya chochote apate mwingine ambaye yupo fiti, hii dawa ni korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa sasa kuna njia mbili ya kwanza sio nyepesi ila ndio inafanya kazi sana cha kufanya mchinje jogoo na ule korodani mbichi moja nzima na nyingine uile usiku kwa wiki mara moja.
Nyepesi ambayo haina effect sana ni kuzichoma na kuzikausha juani zikiwa ngumu unasaga unalamba unga huo hili zoezi la kulamba ni kila asubuhi ukiona huwezi au inatia kinyaa acha