Dawa ya nguvu za kiume hii hapa

Dawa ya nguvu za kiume hii hapa

Mmmh kazi kweli si bora ule tuu supu ya pweza umwambie wife akutengezee ile nzitoo ule mapumbu tena yaan ni shydah na mimi ninayo ya kurudisha bikraa wanawake ni pm
 
Kila kukicha
malalamiko kuhusu nguvu za kiume yamekuwa yakiongezeka, kundi kubwa la
hawa watu wamekuwa ni wanaume wa mjini, hii ni kutokana na kwamba
wanaume wengi wa mjini ni wabishi kufata hali halisi ya kuwa mwanaume
inabidi awe ngangari, mwanaume unakuta anakula chipsi mayai eti ndo
unajisifu unakula chakula kizuri.

Mwanaume hufanyi zoezi hata mara moja kwa wiki ni kero, mwanaume
unafunga bao moja kwa kwa dakika 5 afu ukimakiza unakoroma utafkiri hadi
asubuhi maskini mwanamke wa watu ndo hata hujawahi kumfikisha hivi
unafkiri hatachepuka.

Kiufupi hapo mke wako atafanya chochote apate mwingine ambaye yupo
fiti, hii dawa ni korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa sasa
kuna njia mbili ya kwanza sio nyepesi ila ndio inafanya kazi sana cha
kufanya mchinje jogoo na ule korodani mbichi moja nzima na nyingine uile
usiku kwa wiki mara moja.

Nyepesi ambayo haina effect sana ni kuzichoma na kuzikausha juani zikiwa
ngumu unasaga unalamba unga huo hili zoezi la kulamba ni kila asubuhi
ukiona huwezi au inatia kinyaa acha

Acha kutania watu...!
 
Na nyie chkarikeni kutafuta dawa ya kupunguza kipenyo (diameter) maana n vipenyo ni vikubwa mno na msisahai kutafuta drying agent (silicone) ya kukausha mtera

teamviborobutu....tafuna koro za jogoo mwanaume mwenzio kasema ni dawa hata ukipanic haisaidii
 
hata korodani za mbuzi nazo zinafaa sana unachemsha unakunywa supu yake na kuyala
 
Back
Top Bottom