Dawa ya nguvu za kiume hii hapa

Dawa ya nguvu za kiume hii hapa

aisee hapo umeniacha kariakoo mtaa wa kongo

korodani za jogoo....yaani kuandika hivyo tu udenda umenitoka napenda kula kuku balaa. Hizo kitu zipo eneo kati ya upaja wa kuku na mbavu za mwisho upande wa juu wa uti wa mgongo karibu na figo ndani ya kuku. Ndio maana niliandika in built ...zimetengenezewa ndani.

Sio kama za bf wako, au za nguruwe au za Nyani Ngabu au ng'ombe... ndege wao hazining'inii..hujaelewa tu?
 
Watu wanatoa kometi za kuponda lakini baada ya hapa wanaenda kutafuta dozi kimyakimya.

Ama kweli nguvu za kiume ni janga la vijana.
 
Watu wanatoa kometi za kuponda lakini baada ya hapa wanaenda kutafuta dozi kimyakimya.

Ama kweli nguvu za kiume ni janga la vijana.

kweli, ila watakaoenda watafute jogoo jekundu lenye mkia mweusi akiwa na ukucha wa kama nchi mbili huyo amekomaa vya kutosha kwa dawa, achanganye korodani na habbat sawdah.
Usisahau ukishatoa korodani nyama anakula mganga, sorry tunaihitaji kwa kuifanikisha dawa.
 
inafurahisha kuona mnachakarika kutafuta tiba hongera wanaume...
 
Kila kukicha malalamiko kuhusu nguvu za kiume yamekuwa yakiongezeka, kundi kubwa la hawa watu wamekuwa ni wanaume wa mjini, hii ni kutokana na kwamba wanaume wengi wa mjini ni wabishi kufata hali halisi ya kuwa mwanaume inabidi awe ngangari, mwanaume unakuta anakula chipsi mayai eti ndo unajisifu unakula chakula kizuri.

Mwanaume hufanyi zoezi hata mara moja kwa wiki ni kero, mwanaume unafunga bao moja kwa kwa dakika 5 afu ukimakiza unakoroma utafkiri hadi asubuhi maskini mwanamke wa watu ndo hata hujawahi kumfikisha hivi unafkiri hatachepuka.

Kiufupi hapo mke wako atafanya chochote apate mwingine ambaye yupo fiti, hii dawa ni korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa sasa kuna njia mbili ya kwanza sio nyepesi ila ndio inafanya kazi sana cha kufanya mchinje jogoo na ule korodani mbichi moja nzima na nyingine uile usiku na njia nyingine jaribu kufanya hivi kwa wiki mara moja.

Nyepesi ambayo haina effect sana ni kuzichoma na kuzikausha juani zikiwa ngumu unasaga unalamba unga huo hili zoezi la kulamba ni kila asubuhi ukiona huwezi au inatia kinyaa acha

dah!!! hizo ratiba mpaka usiku tena isije nikaanza kusumbuana na mamaa kama anavyofanya jogoo nichelewe kutoa ila nikitoa tu kwishaaaaaaaa!!!!!!!!
 
dah!!! hizo ratiba mpaka usiku tena isije nikaanza kusumbuana na mamaa kama anavyofanya jogoo nichelewe kutoa ila nikitoa tu kwishaaaaaaaa!!!!!!!!

Na kweli jogoo anapiga kimoja tu tena ndani ya sekunde, sasa ukila koridani zake si ndo utakuwa na wewe kuku kabisa.
 
Wakubwa namajogo wakienyeji bei Poa nipo sinza anayehitaji tukutane pm
 
Hivi haya matangazo si ndio yamepigwa marufuku na serikali jamani.
 
Ninazo kasongo kutoka kongo Drc mwenye shida ani pm ..dawa ya ukweli kwa anayeifahamu sio masihara
 
inafurahisha kuona mnachakarika kutafuta tiba hongera wanaume...

Na nyie chkarikeni kutafuta dawa ya kupunguza kipenyo (diameter) maana n vipenyo ni vikubwa mno na msisahai kutafuta drying agent (silicone) ya kukausha mtera
 
Back
Top Bottom