DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

Dada yangu mie nakupongeza kwa uamuzi huo. Ndo mapenzi ya siku hizi. Wasijifanye wasafi hao. Humu kila mmoja amesaliti au amesalitiwa
 
Kweli malezu...
Hata wana ndoa...baba na mama zenu wengine humu wanasalitiana...mwishowe saa 12 ikifika wanarudi nyumbani kwa waliowasaliti....sembuse chalii bachela.... adipotomb k nying nyng time hii atatomb lini.?? Ila ndio keshazionja sana naona ndio kaamua kubadilika...hope ilikuwa ujana
 
Alafu jaribuni kuwa waelewa.... kwani humu wangapi wako na wapenzi wao wa ukweli lakini bado wako na vicheche vya wizi wizi... asilimia kubwa ni wasaliti...sasa mpnz wako akiamua kukuacha atafute mwengine na mwengine tabia ni hizo hizo.... bora ubakie na huyo huyo msaliti ujaribu kuongea nae taratibu kila mara...
 
Km mtu unaona kbs habadiliki kila unavyompa somo basi ndio unaweza kuangalia ustaarabu mwengine...
 
We dada nahisi una moyo wa plastiki. Pia na ulimbukeni wa kimapenzi. Pole jinga sana wee.

We ndio unatia huruma ktk mapenzi..itakuwa u na mtindio wa ubongo ktk mpnz. Tatizo ulipelekwa mwochwari ulipougua kichaa cha nguruwe mwitu...kabla hujafa vizuri...barid la kule likakuzindua ukarudi duniani....so pole sanaaaa....c amri yako
 
A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.

cool Diet,love cures all.nahisi wengi tutachukua mfano wako.
 
Mmh,dada yangu watu hatutabiriki siku hizi,unaweza sema unampenda sana ila hutojua kuwa huyo umpendae nae anakupenda the same way!Muombe Mungu akuongoze ktk njia iliyonyooka.ila kumbuka kuwa dawa ya msaliti ni kumpeleka Hospital ya msitu wa MABWE PANDE kumtibu meno..
Mwanaume hachungwi...Ila hongera kwa ndoa.
"Nlikuwepo":bolt:
 
Bahati mbaya sana ni kuwa mtakapoingia kwenye ndoa, utataka kumbadirisha awe mwaminifu kwako!! Hapo ndo utakapokumbana na dhahma. Yaani huyu bwana anafanya vurugu zake wewe umeganda kama luba - sawa! Mtaoana. Yeye kichwani mwake ni kuwa wewe upo na utaendelea kuwepo hivyo hivyo. Na yeye ataendelea hivyo hivyo maisha yote. Kama wakubali haya - endelea mbele muoane. Ila kama huko mbele ya safari utasema tabia hiyo huitaki - ujue hiyo si ndoa - unaingia katika janga.
 
we ndio unatia huruma ktk mapenzi..itakuwa u na mtindio wa ubongo ktk mpnz. Tatizo ulipelekwa mwochwari ulipougua kichaa cha nguruwe mwitu...kabla hujafa vizuri...barid la kule likakuzindua ukarudi duniani....so pole sanaaaa....c amri yako
wewe mimi nikibishana na wewe najishushia status yangu. Wewe ulichobakia ni kuzawadiwa ukimwi. Nimesema wewe ni mjinga kwa kuwa hujifunzi kwa makosa ya wengine. I la unataka mpaka yakukute ndo ujifunze. Jinga sana wewe e e e.
 
hongera kwa kumbadilisha mwenzio,ila mie nijuavyo ni kuwa huwezi pata perfect relationship ila unatakiwa ukubali kuyabeba mapungufu yake na sio kumshape the way unavyotaka,maana yuko radhi avumilie ku'fake' hiyo tabia ili akuweke sawa ila kunasiku atachoka,au utamkasirisha na ndipo atajifunua uhalisia wake'mapungufu yake' nawe utajikuta mlishafika mbali sana na hukua umejiandaa kwa hayo mapungufu yake,otherwise all the best bidada.
 
Tena huyo handsome hata ukimtuliza wenzio watamuwinda. unawajua wadada wa mujini weye?

Tena ampate waja leo mwenzio aliyekuzid maujuzi utakomaje. Maana wanaume me siwaelewi wanachitafuta ni ujuzu wa kitandani ama nini. maana waweza jitahidi huko lakini hashikiki. matamaa yao huwezi kuyadhibiti mdada.

Ila olewa as wanaume wote hawatabiriki hata kidogo, waweza dhani huyu katulia lakini balaa tupu bora huyo unayemjua na umeridhia japo napo ni balaa na haya magonjwa yetu.
 
A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.

Jasiri haachi asili...
mkapime msiache yatima wanahangaika ebo!
Kazini kwenye lunch time mnakuwa wote
au unadhani yale matangazo ya saa 1 sh. 5,000/- short time ni maigizo, funguka dada, demand inazid supply!!
 
Back
Top Bottom