habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Jasiri haachii asili
Na akiacha asili HANA AKILI
so yy ni kiboko ya vicheche hongera sana mdada ila kwangu hujanishawishi
Jasiri haachii asili
Waja leo
We dada nahisi una moyo wa plastiki. Pia na ulimbukeni wa kimapenzi. Pole jinga sana wee.
A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana wengine. Ila nilishindwa kumuacha pamoja na usaliti wake sababu nilimpenda sana.
ila katika kumchunguza nikagundua alikuwa beba beba bado hajapata mpnz ya dhati... hakuwahi kupata mpnz wa kumtuliza ndio maana hata alivyonikuta mm alifikir nitakuwa km wasichana wengine... anitoomb alafu aondoke
Kwangu nikambana tofauti... nikampenda sana na kumjal sana... yaan nilimwonyesha mapenzi ya dhati zaid ya mume na mke... na hv alinikuta nimetoka pande flani basi sikumpa nafac anione km wasichana wengine ambao ametoka nao...nilijiweka tofauti... nikamwonyesha namjali...namheshimu kwa dhati ya moyo wangu..
kwa sasa keshanitambulisha kwako...na kwetu anajulikana...haruc mwakani...
hivyo nimeona niwape hiyo ili mjifunze kuwa dawa ya msaliti ni kumpenda zaidi. Na si kumuacha... utaacha wangapi?
Ni hayo tu.
wewe mimi nikibishana na wewe najishushia status yangu. Wewe ulichobakia ni kuzawadiwa ukimwi. Nimesema wewe ni mjinga kwa kuwa hujifunzi kwa makosa ya wengine. I la unataka mpaka yakukute ndo ujifunze. Jinga sana wewe e e e.we ndio unatia huruma ktk mapenzi..itakuwa u na mtindio wa ubongo ktk mpnz. Tatizo ulipelekwa mwochwari ulipougua kichaa cha nguruwe mwitu...kabla hujafa vizuri...barid la kule likakuzindua ukarudi duniani....so pole sanaaaa....c amri yako