Dawa ya mwanamke jeuri ni kipigo tu hakuna namna

Nakubaliana naww kabisa Mkuuu !!100%.
Mkuu yaanu kuna jamaa wana hoja zinazodhihilisha kizazi cha wanaume kimeisha,
Yaani mtu anadhiliki kusema kuwa Mwanamke Mtu Mzima huwezi kumtia heshima kwa kumwadhibu akakuheshimu na akakuogopa?
Kwani sheria na adhabu zipo kwa ajili ya watoto?
yaani mwanamke akubatue kofi mbele ya washikaji zako useme ngoja nirudi nikae nae tuzungumze?

Mwanamke akupasulie Simu ulionunua kwa ghalama useme ngoja tuzungumze?

Mwanamke akuchomee nguo et useme ngoja tukazungumze?

Hahaha usiposhangaa ya Musa utayaona ya filauni,

Kwa sababu zipi hadi mtu anifanyie upumbavu wote huo nimwache? Ndo mnaodekezea wanawake huko wanawaharibia vitu na kuwapiga mnawakaushia mwisho wa siku mnaleta hapa maada eti " Mke wangu kanichomea vyeti vya shule na document zote

Yaani ukatae ukubali meanamke huwa anaishi na kutenda kulingana na na ulivyomzoeza Endeleeni kukanywagwa
 
Nasema ivi ,mwanamke nikiumbe ambaye haijalishi ana umri gani ila nilazima Umuishi kama "Mtoto"

Km nikosa LA kuonywa muonye.
Kama nikosa lakumzabua makofi ,mzabue makofi.
Kama nikumpa somo umpe.

Niseme ivi , Mimi sijifanyi , nasiku zote nitabaki kua ivi nilivyo .

Kukupenda nitakupenda mpaka ujishangae ,, Ila unapokosea HATUA LAZIMA ZIFUATWE.

Uku kujifanya jifanya ooohhhhhh sijui nn ,, ndio maana hawaishi kulia lia.

Lazima mstari Wa heshima uwepo kati ya mama na baba.

Majuzi nikashangaa jamaa kaanzisha Uzi anasema ,,Usimkrash mpenzi wako mbele za watu !!.

Ukiona Mwanamke anakucrush mbele za watu ,Basis ujue HUKUMJENGEA MIZIZI YA KUKUHESHIMU TOKA ZAMAN ,YAAAN ANAKUCHUKULIA KM MSELA MSELA IVI.
 
safi sana mkuu kibaya utakuta wachangiaji wengi kwanza hawajaoa na hawajui changamoto za hawa viumbe....
 
Kosa kubwa utakalolifanya na kulijutia maisha yako yote,ni kuamini kuwa mwanake ni wako tu,pia jihadhali kumfatilia.Ukiweza hili,hutoshindwa kuishi nao.Maana lazima,upende usipende,utaishi nao tu
 
Kosa kubwa utakalolifanya na kulijutia maisha yako yote,ni kuamini kuwa mwanake ni wako tu,pia jihadhali kumfatilia.Ukiweza hili,hutoshindwa kuishi nao.Maana lazima,upende usipende,utaishi nao tu
Mkuu umeelewa nilichozungumzia hapo?
wewe unadhani migogoro ya ndoa inatokana na kutomwamni mwanamke tu?
Je yeye asipokuamin na akaanzisha Ugonvi utafanyeje?
 
Habari zenu wanajamvi, Leo kwa niaba ya Wakurya napenda kuwapa japo kwa ufupi kuwa kumuadhibu mwanamke siyo dhambi.

Wakuu kutokana na ongezeko la wanaume kujiua kwa sababu ya kukosewa nidhamu na wake zao, na hata wengine kuja huku jukwaani kuelezea ni namna gani wanavyopata mateso kwenye ndoa zao leo nimeona upo umuhimu wa kutoa somo hili kuwa kumuadhibu mwanamke wako pale anapokwenda kinyume na maadili siyo dhambi.

Naomba niwape tu kwa ufupi kuwa ukifuatilia ongezeko la malalamiko ya wanaume kuhusu kuhujumiwa na wake zao limeongezeka kwa kasi Kuanzia karne hii ya 21 kutokana na ongezeko la vyombo vya utetezi wa haki za wanawake, naomba nieleweke vizuri kuwa hapa sina maana kuwa ninachochea udikiteta na unyanyasaji na udharirishaji wa kijinsia ya kike ila nataka kuweka mambo sawa ili jamii ielewe hili kuwa wanaume tunaumia sana na hawa wake zetu ambao wanatunyanyasa kila kukicha majumbani na huku wakitetewa kila sehemu pale tunapojitahidi kuwakanya.

Ni juzi tu jirani yangu hapa mjini aling'olewa jino na mke wake tena kibaya zaidi ni jino la sebuleni yaani front page...ila hakuna hatua zozote zilizochukulia dhidhi unyama huo ila angekuwa yeye ndo kamng'oa ingetangazwa hadi kwenye vyombo vya habari ila hapa kesi iliishia kwa balozi wa nyumba kumi tu.

Naomba turudi kwenye maandiko matatifu yanasema kuwa mwanamme amepewa mamlaka ya kumtawala mwanamke ikiwemo na kumtia nidhamu pale anapokosea kumbuka kumchapa mtu ni kumshikisha adhabu ila inasikitisha waliobadili maana hiyo na kuiita majina ya ajabu kuwa ni unyanyasaji, udhalilishaji na unyimwaji wa haki za msingi,

Tukumbuke kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu na haya sio maneno ya Youngtozy ila ni maneno ambayo yapo hata katika maandiko matakatifu na ili mwanamke aweze kukaa katika mstari ulionyooka lazima awezeshwe na mwanamme hii inadhihilisha kuwa kumbe ili mwanamke akae mstari sawa na maadili lazima aongizwe na mwanamme.

Hapa tukirudi katika taaluma ya Utawala nadhani swala la utowaji wa adhabu kwa wakosaji ni moja ya kipengere mhimu katika psychology treatment ya mtu ambae ambae haelewi au kwa mvunjaji wa sheria kimaksudi.

Hivyo naomba nirudie kwa kumaanisha tena kwa msisitizo dawa ya mwanamke jeuri ni kumshikisha adabu.

Siwadharau wanawake maana ndio mama zetu na wasaidizi wetu na kila mafanikio ya mwanamme mwanamke yupo pembeni ila ukweli ni kwamba mwanamke nahitaji mwongozo kwa mwanamme ikiwemo psychological treatment.
Mtafutie mwenzake tu na ajue
 
Shida yako ni upungufu wa elimu tu unaweza kuacha ujinga.
Elimu ipi labda?? Labda ya unyango mwanamke anayejielewa huwezi pata ata sababu ya kumpiga, ila wapuuzi kama wewe na udume wako ni bakora tuuh!

Akili zako na wanawake naona mnalingana.
 
Back
Top Bottom