Theory yako nzuuuri kabisa..nzuri tu..lakini ni ipo like the house of cards..hata mtoto akiipuliza inadondoka..nami naipuliza kama ifuatavyo
Asilia 95 ya wanawake kabla na baada ya kuanza usaliti hujuhusisha na ushirikina wa kwenda kwa waganga ili wawafunge waume zao wasireact pindi wakistukia chezo..sasa mwanamke keshaenda kwa mganga kukufunga na mganga kamdanganya na midawa yake ya uongo na kweli ..mama keshakulisha mara kibao kwenye misosi....then siku ya siku unamfuma, unachukua hatua zote kwenye hiyo theory yako then unamkaushia bila kuleta rabsha...conclusion atakayofikia mwanamke mimi na wewe tunaijua ila itakuwa na mambo ya lazima mawili
1. hatafikiria kuacha usaliti
2. Taswira ya mganga lazima itamjia kichwani