Dawa ya moto , MOTO !

Mkuu Judgement..sasa kwenye moto ukiweka baridi si utazima?
dawa ya moto ni moto!! iko vyema kabisa..

labda utafsiri neno dawa kivingine..na uli apply tofauti pia!!!

Tena mf.
Hai unao mezani! Refar kambi ya Lady doctor & shansarie
shortly after the winner been announced !
Moto ulikuaje between two kambiz ?
Leo usingekuja baridi na Uzi wa Dialogue either mediation hali ingekuaje ?
Hukuona baadhi ya members tayari walishatengeneza hasama za daima ? Pasipo wewe kuuacha MOTO then to become COOL & CALM members wangesameheana??????????
 
Last edited by a moderator:

aaah! haipo hivyo bwana...
hapo hiyo methali ya dawa ya moto haingii..
labda upate watafsiri wazuri wa fasihi waweke mambo sawa..

teh teh teh! umefikiria sana lakini..
 
Last edited by a moderator:
aaah! haipo hivyo bwana...
hapo hiyo methali ya dawa ya moto haingii..
labda upate watafsiri wazuri wa fasihi waweke mambo sawa..

teh teh teh! umefikiria sana lakini..

Uko msemo mmoja nauheshimu sana Mr. kiwatengu .
Msemo unasema :- "Ukiwaona watu wanaoishi pamoja wanakubaliana ktk kila jambo! Elewa wana kasoro!
Na ukiwaona wanapingana ktk kila jambo pia elewa wana kasoro!"
Na ukiwaona wanakubaliana ktk baadhi , na wanapingana ktk baadhi , hao hawana kasoro!"
Hence wewe unanifanya niendelee kua muumini mzuri wa semi hii .
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha...

mkuu ngoja niingie deep katika kuwaza mno..
yaani kuna kitu nakifikiria sana! kwanini udhani kuwa dawa ya moto si moto!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha...

mkuu ngoja niingie deep katika kuwaza mno..
yaani kuna kitu nakifikiria sana! kwanini udhani kuwa dawa ya moto si moto!!

Those rights !
Proceed for reviewin the matter , then come back with observation .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…