Aysher25
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,763
- 3,074
HahahahhaNimekuelewa sana mkuu
Vipi na mdogo ako yuko hivo hivo ili niombe hifadh..in case![]()
HahahahhaNimekuelewa sana mkuu
Vipi na mdogo ako yuko hivo hivo ili niombe hifadh..in case![]()
Suluhu zote mbili ni "fake"Wamama wa siku hizi wameshindwa kabisa kufundisha watoto wao wa kike kuheshimu waume zao.Unakuta binti kwa sababu umemuoa naameshakuzalia watoto na tayari ashakuzoea basi anakukosea heshima.
Sasa kwa kawaida kuna mambo kadhaaa ambayo ni kero katika mapenzi hasa kutoka kwa mke.
Haya hapo juu pamoja na mengine ni kero kubwa sana na mwanake akileta tabia kama hiyo adhabu yake ni moja kati ya zifuatazo:
- Kwanza ni kitendo cha mke kumpandishia mume sauti ama in private au in public haijalishi ni kuhusu swala gani
- Pili ni kitendo cha mke kumpandishi mtu mwingine mke/mume mbele ya mume wake
- Tatu ni mke kutafuta neno lolote la matusi au kashfa mbele ya mume mbele ya watu au in private
- Nne ni mkwe kumkwida mume wake,au kulia kwa sauti mpaka majirani wasikie wakati wakigombana na mume wake
- Kuoa mke mwingine na kukaa huko mpaka ama aje kudai matunzo ya mtoto au akuombe urudi nyumbani
- Iwapo asipokuomba urudi kurudi nyumbani au kudai matumizi basi unahakikisha huyo mwanamke mwingine anakuzalia mtoto kisha ndo unarudi nyumbani kwako.
Hakuna dawa nyingine ya mwanamke ambaye hajafundishwa unyenyekevu na mama yake zaidi ya hiyo
Tujadili
Wazee wa FURSASitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy
Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana

Nimekuelewa sana mkuu
Vipi na mdogo ako yuko hivo hivo ili niombe hifadh..in case![]()
Ur missedWazee wa FURSA![]()
Wanawake woote wanafaa kuolewa.Kuna wanawake wa aina nyingi:
1. Wapo wanawake special wa kuoa
2. Kuna wanawake special kwaajili ya michepuko
3. Kuna wanawake special kwaajili ya umalaya
4. Kuna wanawake special kwaajili ya kujiuza/machangudoa
Watu wanakosea mke sasa wa kuoa na kuangukia kwenye makundi mengine ndiyo chanzo cha migogoro kwenye ndoa isiyo isha
Ur missed
Ja.......
UcjaliView attachment 692970
So strange.....
Mie pia mdogo wangu hivi upo kweli?Nimekumiss jamn
Hahaaa. DuuhDawa hii inamfaa Joyce kiria
NotedSitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy
Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Atakapoegemea zaidi kwa huyo mwenzio hapo ndio utakapojuta.Sitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy
Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Unafaaa sana kwa ndoa za kislamu...... Huna dukuduku kabisa na mke mwenzaSitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy
Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Unamtakia heri kwani mkuu umeacha kutafuta jiko siku hizi, huoni anafaa huyu manzi kwa matumizi ya ndoaKila la kheri