Dawa ya mke asiye na adabu

Dawa ya mke asiye na adabu

Unamtakia heri kwani mkuu umeacha kutafuta jiko siku hizi, huoni anafaa huyu manzi kwa matumizi ya ndoa
Huyo tayari yupo booked kwa hiyo nimemtakia mema katika kutekeleza hayo aliyoadhimia
 
Dawa ni kuwa mwanaume mkakamavu kiasi ambacho mke hawezi kuthubutu wala kufikiria kufanya huo ujinga.tatizo baadhi yetu mmekuwa legelege sana.Mie hata mwanaume mwenzangu hawezithubutu kunipandishia sauit kibwegebwege seuze mwanamke.Na simaanishi kuwa unamtembezea kichapo hapana,unachotakiwa ni kujenga mazingira ya kuheshimika na mwenza wako na kutoruhusu ujingaujinga au kupandwa kichwani.
 
inauma sana unaponyesha mapenzi ya dhati kwa mkeo yeye analeta kibri na makelele
 
Wamama wa siku hizi wameshindwa kabisa kufundisha watoto wao wa kike kuheshimu waume zao.Unakuta binti kwa sababu umemuoa naameshakuzalia watoto na tayari ashakuzoea basi anakukosea heshima.

Sasa kwa kawaida kuna mambo kadhaaa ambayo ni kero katika mapenzi hasa kutoka kwa mke.
  1. Kwanza ni kitendo cha mke kumpandishia mume sauti ama in private au in public haijalishi ni kuhusu swala gani
  2. Pili ni kitendo cha mke kumpandishi mtu mwingine mke/mume mbele ya mume wake
  3. Tatu ni mke kutafuta neno lolote la matusi au kashfa mbele ya mume mbele ya watu au in private
  4. Nne ni mkwe kumkwida mume wake,au kulia kwa sauti mpaka majirani wasikie wakati wakigombana na mume wake
Haya hapo juu pamoja na mengine ni kero kubwa sana na mwanake akileta tabia kama hiyo adhabu yake ni moja kati ya zifuatazo:
  1. Kuoa mke mwingine na kukaa huko mpaka ama aje kudai matunzo ya mtoto au akuombe urudi nyumbani
  2. Iwapo asipokuomba urudi kurudi nyumbani au kudai matumizi basi unahakikisha huyo mwanamke mwingine anakuzalia mtoto kisha ndo unarudi nyumbani kwako.

Hakuna dawa nyingine ya mwanamke ambaye hajafundishwa unyenyekevu na mama yake zaidi ya hiyo

Tujadili
Kabla ya kuoa Ni kuangalia kuchunguza tabia za mama mkwe zipoje papai uzaa papai,wengine wanawake ni wakorofi Hadi unaondoka mwenyewe
 
Wanaume wengi kuishiwa nguvu za kiume chanzo ni midomi michafu ya wake zao , mwanaume yeyeto akitukanwa mbele za watu na mumewe anaukua ameoondoa uanaume wa mmewe na kuiporomosha heshima ya mume
 
Sitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy

Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Wachaaaa banah
 
Back
Top Bottom