ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,265
- 4,452
Wamama wa siku hizi wameshindwa kabisa kufundisha watoto wao wa kike kuheshimu waume zao.Unakuta binti kwa sababu umemuoa naameshakuzalia watoto na tayari ashakuzoea basi anakukosea heshima.
Sasa kwa kawaida kuna mambo kadhaaa ambayo ni kero katika mapenzi hasa kutoka kwa mke.
Hakuna dawa nyingine ya mwanamke ambaye hajafundishwa unyenyekevu na mama yake zaidi ya hiyo
Tujadili
Sasa kwa kawaida kuna mambo kadhaaa ambayo ni kero katika mapenzi hasa kutoka kwa mke.
- Kwanza ni kitendo cha mke kumpandishia mume sauti ama in private au in public haijalishi ni kuhusu swala gani
- Pili ni kitendo cha mke kumpandishi mtu mwingine mke/mume mbele ya mume wake
- Tatu ni mke kutafuta neno lolote la matusi au kashfa mbele ya mume mbele ya watu au in private
- Nne ni mkwe kumkwida mume wake,au kulia kwa sauti mpaka majirani wasikie wakati wakigombana na mume wake
- Kuoa mke mwingine na kukaa huko mpaka ama aje kudai matunzo ya mtoto au akuombe urudi nyumbani
- Iwapo asipokuomba urudi kurudi nyumbani au kudai matumizi basi unahakikisha huyo mwanamke mwingine anakuzalia mtoto kisha ndo unarudi nyumbani kwako.
Hakuna dawa nyingine ya mwanamke ambaye hajafundishwa unyenyekevu na mama yake zaidi ya hiyo
Tujadili
