yamo Member Joined Nov 5, 2018 Posts 9 Reaction score 16 Jul 1, 2022 #1 Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa, Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni. Naomba msaada wenu.
Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa, Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni. Naomba msaada wenu.
ARTBOY VAN KALA Member Joined Jul 6, 2022 Posts 20 Reaction score 14 Jul 6, 2022 #2 Levamisoline Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,199 Reaction score 10,837 Jul 7, 2022 #3 Hivi albendazole siku hizi hazifanyi kazi? Ndio dawa niijuayo mimi.
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,544 Jul 7, 2022 #4 Latrex kama sijakosea
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,578 Reaction score 1,817 Dec 21, 2022 #5 Dawa gani inaweza kuwa nzuri kwa minyoo kwa watu wazima ambayo inapatika kwenye pharmacy zetu za kawaida?
Dawa gani inaweza kuwa nzuri kwa minyoo kwa watu wazima ambayo inapatika kwenye pharmacy zetu za kawaida?
Mrs Thabo Bester JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 3,144 Reaction score 7,935 Dec 21, 2022 #6 Mebendazole
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,164 Reaction score 43,858 Dec 21, 2022 #7 Tafuta Zentel tab ukikosa chukua Levamisole
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,352 Reaction score 11,252 Dec 21, 2022 #8 Alben dose AFTATU