Dawa ya Miguu kunuka Andaa mwenyewe popote ulipo

Dawa ya Miguu kunuka Andaa mwenyewe popote ulipo

Kumekuwa na tatizo la watu kutoa harufu miguuni baada kuvua viatu
Leo nimeamua kuwafundisha dawa ya tatizo hili bila gharama yoyote.
Najua kuna wengine wanajua baadhi ya dawa nashauri watumie uzi huu kuelekeza watu hii yote nikuifanya Jamii yetu kuwa salama zaidi.

Mahitaji:
Maji
Limao
Chumvi.

Jinsi ya kuandaa.
Weka maji robo kikombe
Kisha weka chumvi nusu kijiko (chumvi yoyote)
Baada ya hapo kamulia Limao moja na uchanganye,paka mchanyiko huo miguuni.
Kama tatizo ni sugu fanya hivyo kila siku asubuhi na jioni kwa mda wa siku sita tatizo litakuwa limeisha,kama tatizo sio sugu paka asubuhi na jioni kwa mda wa siku tatu tatizo litakuwa limeisha.
Baada ya kutumia msisahau kuja kuleta mrejesho.

N. B Miguu kunuka kisababishi kikubwa huwa ni fangasi, japokuwa zipo sababu zingine
Kwa hiyo dawa hii inamaliza tatizo.
Wale fangas si wanabaki kwenye viatu au
 
Siyo mbwa tu hata ukienda beach mawimbi upande wako yanakuwa na nguvu zaidi yanahisi umeenda sucide mission.

Hata ukipewa papuchi unapewa na masharti kuwa wazungu mwaga nje.

Kikao cha familia kinaweza kuwa kinaendelea wewe unaambiwa kakaribishe watu nje. kisa tu huna pesa.

Ndoto za ucku hubadilika mara unakimbizwa, mara unaanguka shimoni,,mara umekabwa yaani ilimradi tu ukose raha.


Hata huilizwi unakunywa soda gani, unaona tu fanta orange umeletewa.

KUKOSA PESA NI TATIZO SANA MKUU
🤣🤣
 
Back
Top Bottom