Habarini wakuu naombeni msaada kwahili..
Nina mchumba wangu kiukweli yupo vizur na nampenda sana...lakini tatizo linakuja pale anapo lala mdomo huwa anapenda kuuacha wazi, kiufupi anapenda kulala mdomo ukiwa wazi,kitu ambacho mm cpendezwi nacho...swali kwa wataalam kuna dawa yyte anaweza kutumia kubadilisha hali hii?
mhhhh..........haya wasalimie hao ulionao behind the screen
Akilala mpake supa glue.
Habarini wakuu naombeni msaada kwahili..
Nina mchumba wangu kiukweli yupo vizur na nampenda sana...lakini tatizo linakuja pale anapo lala mdomo huwa anapenda kuuacha wazi, kiufupi anapenda kulala mdomo ukiwa wazi,kitu ambacho mm cpendezwi nacho...swali kwa wataalam kuna dawa yyte anaweza kutumia kubadilisha hali hii?
Mkuu,mimi nina swali, Hivi mtu ukiwa unampenda lazima kila kitu chake ukipende? na chochote usichokipenda lazima ukirekebishe?
Binafsi naona,labda uumbe wa kwako kwa ku'customize specifications uzitakazo ndio utapenda kila kilicho chake!
Mengine unatakiwa kuyapotezea na kuvumilia ama kuachana nae kama unadhani huwezi kuendana nayo!
Ahaha akilala wewe unakuwa macho ukifanyaje!???????:heh:
Shukuru wako anaachama tu mdomo mi mbona wangu anaruka sarakasi usiku kucha na nimejizoelea hiyo hali
wewe ni jinsia gani?Habarini wakuu naombeni msaada kwahili..
Nina mchumba wangu kiukweli yupo vizur na nampenda sana...lakini tatizo linakuja pale anapo lala mdomo huwa anapenda kuuacha wazi, kiufupi anapenda kulala mdomo ukiwa wazi,kitu ambacho mm cpendezwi nacho...swali kwa wataalam kuna dawa yyte anaweza kutumia kubadilisha hali hii?
Ni vizuri kumuangalia mpenzi wako akiwa amelala, sura yake ikoje, mimi mwenyewe napenda kumuangalia Mr wangu na huwa nafurahi sana.Naona nimepata Mume bora.
Tumbukiza dushelele mdomoni mwake