Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
Je, pia inawezekana aliambiwe atoe bure na kwa sababu ya hali ngumu ya maisha akaanza kutoza pesa na kudai Mungu alimwamuru na bei ya dawa zake?
tusijidangaye wapendwa, Mungu wa kweli haponyi namna hiyo ya samunge
hakuna aliyepona, sasa utapata wapi vyeti vinavyothibitisha uponyaji?
kweli jeshi lote lililoenda samunge hadi leo wakiwemo wanaJf wote hawa, tumekosa hata ushuhuda mmoja tu wa kuaminika? mbali na hadithi tu za fulani kapona?
Japo jua linawaka na kuna mwangaza lakini wapo wengi wetu wanaotembea gizani wanahitaji kurumzi..........