Dawa Ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu. Je Ni Ulaghai?

mi nlchoshuhudia ni wa2 kuzdiwa na nmeshuhudia kati ya hao waliozdiwa wa 5 kat yao walipoteza maisha( RIP WOTE) kuna k2 bdo knanchanganya na cjakielewa vzr. Kwa nini waliopata dawa ya babu wanaona nafuu wk2 za mwanzo then baada ya 2wks wanazdiwa mara 10 ya mwanzo? Nna ushahd cz nmewashuhudia wengi. Mungu wabariki waTZ.

Nikuwa shetani anafanya kazi kwa njia mbili maana yeye ndiye mtengeneza shida; anakuondolea ile ya mwanzo na baada ya muda kukupatia nyingine kubwa zaidi na kama akijua wewe kiroho uko potential kumgeuka lazima akumalize haraka uende kuzimu lakini kama kirohoo tayari ni mfu ata ku spare ila atakubadilishia tatizo ili uendelee kuwa tegemezi kwake.

Wapendwa habari ya kuwa Mungu anaponya si yakusadikika na kila mtu anaweza kupata uponyaji huo kama atapata mafundisho sahihi ambayo yanaleta imani na imani husababisha uhuisho wa roho na mwili. Nimetoa shuhuda zangu nyingi na nimefundisha kwa nguvu na akili yote aliyoweza kunifunulia roho mtakatifu lakini nasikitika watu hawakutilia maanani. My sister Judith alitoa muda wake na alitukanwa na wengi bila kujua walikuwa wanaelekea shimo la maangamizi. Wapo ambao walijitahidi sana kuwatahadharisha watu lakini bado hawakuaminiwa; time is a gud friend ukweli utakuwa wazi. Poleni sana ila si vibaya bado rehema za Mungu ni kubwa sana kwa yeyote yule atakaye kubali na kupokea.

Namwambia tena babu ole kama anatumika kwa ufahamu wake maana hukumu yake itakuwa wazi kama alivyo potosha watu kwa uwazi; na heri kwake kama amefungwa bila kujua lakini jambo moja ninauhakika nalo ya kuwa akifanyacho hakina uhusiano na nguvu za roho wa Mungu aliye hai ambaye sisi tunamjua kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth bwana na mwokozi wa maisha yetu.
 
  • Thanks
Reactions: len
Hakuna uzima kabisa kwa shetani, hawezi kuponya hata sikumoja kwasababu uponyaji siyo asili yake.Yeye kazi yake ni kuharibu tuu anaweza kukuondolea hili na kukuletea lile lakini siyo uzima. Ndiyo maana ni lazima tuokoke na kumfuata Yesu ili atuongoze katika maisha yetu ya kila siku ili nasi tuwe huru na tuwaangazie wengine katika maisha yao.
 
  • Thanks
Reactions: len
unajua ngoaj niseme kitu kimoja walah kama wazungu wangesema dawa zao za malaria na magonjwa mengine wanatoa kama babu''basi hakuna hata mtu amabe angebaki hususan huku kwetu africa'hakuna dawa ya ain hii hapa duniani ni upumbavu kuaribu watu akili tu''watu wanataka kuishi wanataka uzima na afya sasa kuchezea akili za watu kwa style hii nakwambia babu ajiandae sababu kinachofuata kama cto kumvizia babu kummaliza maana watu wanaenda kwa hope na imani hyo anayosema na hakuna kitu sasa''mi namtahadhalisha babu ni balaa linakuja baada ya mwaka1 wa tiba yake''kama hatutaishi ajue atalipa hisia zetu na imani ambazo znapotea kwa ajili yake'.
 
mkuu inawezekana aliambiwa na Mungu kweli amponye mtu mmoja tu yule wa kwanza na si vinginevyo. Alipewa kama ufunuo kwa ajili ya mtu mmoja na si kwa style anayoendelea kuifanya. anachofanya ni ulangai na kujitafutia pensheni, inasikitisha baadhi ya maaskofu wa KKKT ni kama wameigeuza kuwa doctrine ya kanisa.
Na hicho ndicho kinachowafanya baadhi ya watu wamshabikie Babu :tape: (kinjeketile :A S angry:).bila kujuwa uhsabiki wao ni mauti kwa ndugu zao na wapenzi wao.
 
Acha uvivu, nenda Loliondo na kisha uwatafute wahusika ndipo uandike hayo unayoandika. Wewe pamoja na wachangiaji wako manpotosha watu kwa kuandika habari za hear and say.

Huwezi ukasubiri watu wakuletee habari bila ya wewe kutafuta. Watu wameripoti habari za Mbagara wakiwa bar DDC kariako kwa umakini as if wapo eneo la tukio! Na wengi wanaripoti habari za Loliondo kama vile wamefika.

Kwa taarifa yako, mimi nimefika na ilikuwa baada ya kushuhudia jamaa zangu kupona. Hivi ninavyoongea nimepona na kwa ufinyu wenu wa mawazo mtataka niwawekee uthibitsho hapa! Msiwapotoshe wengine, wenye imani waacheni waende. Nendeni mkaone na mtajua mengi yanayoandikwa na wengi yanapotosha ukweli.
 
Unauhakika kwamba umepona au unahisi kwamba umepona?
Nenda kapime tena hospitali kisha ndo useme kwamba umepona, otherwise kwa kila ugonjwa huwa kuna kipindi fulani mtu hujisikia nafuu, lakini atajidanganya kusema nafuu hiyo ndo kupona kwenyewe.
 
Imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu; siku za mwisho,kutatokea Manabii wengi wa uwongo, sasa naamini hilo.
 
Acha uvivu, nenda Loliondo na kisha uwatafute wahusika ndipo uandike hayo unayoandika. Wewe pamoja na wachangiaji wako manpotosha watu kwa kuandika habari za hear and say.

Huwezi ukasubiri watu wakuletee habari bila ya wewe kutafuta. Watu wameripoti habari za Mbagara wakiwa bar DDC kariako kwa umakini as if wapo eneo la tukio! Na wengi wanaripoti habari za Loliondo kama vile wamefika.

Kwa taarifa yako, mimi nimefika na ilikuwa baada ya kushuhudia jamaa zangu kupona. Hivi ninavyoongea nimepona na kwa ufinyu wenu wa mawazo mtataka niwawekee uthibitsho hapa! Msiwapotoshe wengine, wenye imani waacheni waende. Nendeni mkaone na mtajua mengi yanayoandikwa na wengi yanapotosha ukweli.

Bora tubaki na uvivu wakutokwenda kuliko kuwa na uvivu wa kufikilia hata kama ni viraza kiasi gani!

Nasikia babu anatibu magonjwa mengi, lakini jamani kila magonjwa yana tabia tofauti, ndio maana ningependa kumuuliza mams, yeye amepona nini? ambacho alikua akiumwa?.Wana JF ugonjwa kama kisukali unatabia za ajabu sana, kwa mfano mtu akiwa kwenye tension free, unaweza sema sio mgonjwa kabisa, lakina akiwa kwenye tension mambo yanakua mabaya, ni sawa akiacha kula vitu ambavyo avijaruhusiwa.

My take,
Kama umeenda kwa babu kwa imani kubwa kwamba ukipata tu kikombe mambo yatukua sawa na bahati ukakipata, utakua mwenye furaha na ndipo utakua huna tension yoyote, na unaweza jiona umepona.Ndugu yangu ujapona kilichotokea ni imani tu unless kuna scientific proof ya hilo lakini jipe muda you will go back kwenyekitu ulichokua ukiumwa.Wagonjwa tusiache dawa ambazo zimethibitishwa kitaalam kwa kukimbilia kikombe tutaisha!
 
Acha uvivu, nenda Loliondo na kisha uwatafute wahusika ndipo uandike hayo unayoandika. Wewe pamoja na wachangiaji wako manpotosha watu kwa kuandika habari za hear and say.
Huwezi ukasubiri watu wakuletee habari bila ya wewe kutafuta. Watu wameripoti habari za Mbagara wakiwa bar DDC kariako kwa umakini as if wapo eneo la tukio! Na wengi wanaripoti habari za Loliondo kama vile wamefika.
Kwa taarifa yako, mimi nimefika na ilikuwa baada ya kushuhudia jamaa zangu kupona. Hivi ninavyoongea nimepona na kwa ufinyu wenu wa mawazo mtataka niwawekee uthibitsho hapa! Msiwapotoshe wengine, wenye imani waacheni waende. Nendeni mkaone na mtajua mengi yanayoandikwa na wengi yanapotosha ukweli.
Wewe wacha kupoteza watu, ingekuwa kweli watu wanapona basi Mchungaji Andongolile Mwamugobole wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania kule Mbeya, angekwenda au kupelekwa uko, lakini mbona amefariki akiwa amelazwa hospitali ya rufaa Mbeya. Na kwanini hakupelekwa kwa huyo mchungaji mstaafu, kilichowafanya wasimpeleke Mchungaji Andongolile kwa huyo babu ni nini... Au naye hakuwa na imani!?
 
Acha uvivu, nenda Loliondo na kisha uwatafute wahusika ndipo uandike hayo unayoandika. Wewe pamoja na wachangiaji wako manpotosha watu kwa kuandika habari za hear and say.<br />
<br />
Huwezi ukasubiri watu wakuletee habari bila ya wewe kutafuta. Watu wameripoti habari za Mbagara wakiwa bar DDC kariako kwa umakini as if wapo eneo la tukio! Na wengi wanaripoti habari za Loliondo kama vile wamefika.<br />
<br />
<br />
Kwa taarifa yako, mimi nimefika na ilikuwa baada ya kushuhudia jamaa zangu kupona. Hivi ninavyoongea nimepona na kwa ufinyu wenu wa mawazo mtataka niwawekee uthibitsho hapa! Msiwapotoshe wengine, wenye imani waacheni waende. Nendeni mkaone na mtajua mengi yanayoandikwa na wengi yanapotosha ukweli.
Umepona? Kwani ulikuwa unaumwa nini? Na nani kakuambia kuwa umepona.kila karne inamambo yake jamani ambayo Mungu huwajaalia viumbe.katika karne hii ya sayansi na tech maendeleo ya mwanadamu ya aina zote yatatokana na sayansi na tech. mungu amewafunulia elimu mbalimbali wanadamu ili waweze kukabiliana na mazingira yao. Watapata matatizo makubwa wale ambao maisha yao yataongozwa na waota ndoto na waganga wa kienyeji. Watu watangulize akili mbele imani iwenyuma, ukitanguliza imani mbele kuliko akili utapotezwa na shetani. Wale wote wanaoamini dawa ya babu ni matokeo ya akili zao zimetawaliwa na imani, wamekuwa hawana uwezo tena wa kufikiri, imani imewapofuwa. Ndio mbna leo kuna watu wanaabudu moto,ng'ombe,jua na wengine hufika kuabudu binadamu mwenzao, akili iwembele imani ifuate akili.
 
Mtani sikonge naona sasa ushakuwa mwenyeji hapa dar/pwani, maana nawe unaiujuwa mipasho. Haya nambie ni nani huyo atakayekufa na hicho kijiba cha roho??!

Atakufa nacho huyu Mwanzilisha wa thread. Anahaha kushoto na kulia kumpinga Babu wa watu. Kama unaona Babu anadanganya basi wewe toa njia mbadala na waonyeshe watu kuwa huko wamepotea na waje kwako. Haya ya kusagia na ukimaliza husemi watu waende wapi, ni kuchemka tu. Heri kufia kwa Babu kuliko kufia Muhimbili maana pale huna hata nafasi ya kuwaona Ma-Dr's na kwa babu kama una imani yako, unajiponea au KUJIFIA. Kumbuka tunaishi kwa IMANI.

Hee mkuu una uswazi furani?
Uswazi fulani tena jamani? Mbona ni vitu vya kawaida kabisa kwa ajili ya Binadamu. Inategemea upo wapi na ukasi wa hiyo kitu ukoje.

Halafu mnasema mnatakiwa kuwa na imani ya kwenda kupona kwa kinjekitile ngwale...
Mie kwa Babu siendi na wala sina mpango wa kwenda kwa sasa. Ila ikibidi kwenda basi wala sintasita kwenda. Haya mambo ya kuwa kama Mbwa wa Bustani, ni UJINGA maana jibwa la bustani, lenyewe matunda yaliyoanguka halili na halikuruhusu wewe na njaa yako UOKOTE hayo matunda utibu njaa yako.

Kama mtu ana IMANI atapona, mwache AKAJARIBU na kama huna imani, kaa kimya na waache watu wakacheze KARATA zao.
 
Atakufa nacho huyu Mwanzilisha wa thread. Anahaha kushoto na kulia kumpinga Babu wa watu. Kama unaona Babu anadanganya basi wewe toa njia mbadala na waonyeshe watu kuwa huko wamepotea na waje kwako. Haya ya kusagia na ukimaliza husemi watu waende wapi, ni kuchemka tu. Heri kufia kwa Babu kuliko kufia Muhimbili maana pale huna hata nafasi ya kuwaona Ma-Dr's na kwa babu kama una imani yako, unajiponea au KUJIFIA. Kumbuka tunaishi kwa IMANI.

Pole sana mjibu mada, sidhani kama unaelewa hata hiyo maana ya imani...! Eti unaishi kwa imani, yaani imani bila matendo hujui kama imekufa!?

Wewe uoni kuwa unapoteza watu, wakafie porini kuliko mahospitali, hizi akili ni zako au umeazima, wewe vipi... mzima kweli uko upstair?

Kwani ukila dawa za hospitali na ukiwa na imani yako uponi? Mbona mnataka watu waishi kama enzi zile za ujima?
 
Mie kwa Babu siendi na wala sina mpango wa kwenda kwa sasa. Ila ikibidi kwenda basi wala sintasita kwenda. Haya mambo ya kuwa kama Mbwa wa Bustani, ni UJINGA maana jibwa la bustani, lenyewe matunda yaliyoanguka halili na halikuruhusu wewe na njaa yako UOKOTE hayo matunda utibu njaa yako.

Kama mtu ana IMANI atapona, mwache AKAJARIBU na kama huna imani, kaa kimya na waache watu wakacheze KARATA zao.

Acha uongo wewe. Umeona wote waliokuwa na ngoma kuwa hawajapona?

Mbona mie nimepona kabisa ugonjwa wangu? Na nilikwenda German kupima ili niwe na uhakika.

Hospital kubwa kabisa pale Mannheim akanihakikisha kabisa baada ya kupimwa mara tatu kuwa niko fresh na sasa hivi mie ni SUKARI ni damudamu.

Nimerudi zangu sasa hivi Sikonge na nimeamua kuwa Mcha Mungu na napiga zoezi ili kuwa fit.

Kaaazi kweli kweli...!
 
Nimetoka sehemu ku donate kwa ajili ya ndugu yangu mwenye matatizo ya muda mrefu ki afya (sio ngoma) kuutokana na taarifa mbali mbali ambazo amezipata (shuhuda) ameshawishika kwenda huko.

Namuomba Moderator asiifunge hii thread ili akirudi ntaja toa ushuhuda kwa mujibu wa hayo yatakayo kuwa yamejiri kwa ndugu yangu.

Kwani ni tatizo la muda mrefu na ameamua kwenda huko kwa hiari yake mwenyewe bila ushawishi wa mtu, bali kupitia taarifa na shuhuda mbali mbali zilizojiri kwake.

stay tuned.
 
sheikh yahaya tu ndiye anayeweza kuzuia kifo.........au sio????
 
Dunia hii kila mtu atakufa na Mungu wake. Hakuna sababu ya kukataza watu kutumia dawa za Babu kama wenyewe wameridhika na wanaamini watapona! Tumeaminishwa dawa za kizungu za malaria za mseto, chloroquine, kwinini n.k. kama zinaweza kutibu lakini matokeo yake mpaka leo hakuna tiba. Acha watu watafute mbadala badala ya kukashifu dawa za Babu.
 
sheikh yahaya tu ndiye anayeweza kuzuia kifo.........au sio????

Dah! Kazi kweli, shekh yahya hana uwezo wa kuzuwia kifo. Shekh yahya na mchunaji Mwasapile wote ni washirikina. Tofauti mwasapile anawasiliana na majini kwa ndoto shekh yahya anatumia ramli. Ubaya uliopo ushirikina wa Mwasapile unaungwa mkono na wafuasi wa inani yake. Wakati shkh yahya hakubaki hata na wafuasi wa imani yake, wafuasi wa imani ya mwasapile wanaonekana ndio wateja wakubwa wa shekh yahya. Ubaya wa tiba ya Mwasapile watu wanafia porini maiti nyengine zinatupwa porini kama wanyama.
 
This whole babu thing is nonsense because we know the mechanisms that cause all these illness that are supposedly cured by this old man's plant.. He goes further to claim that only he can do the curing and if his medication is taken in that specific geographic location. That is pure horse sh!t... He is just another example of people who use others' faith, desperation and despair for financial gain. Alafu Watanzania tulivyo wajinga mpaka viongozi wa serikali, sijui watu gani ambao wameenda shule na wengine wamesoma mpaka phD wanaenda kusapoti huu upuuzi. Angesema mti shamba unaponya sawa, sasa mti +him+ ile sehemu + baraka za Mungu ndio zinaponya? Yani hiyo concept ni mataputapu... Akienda mbuddhist pale au Richard Dawkins (hana dini na ni mpingaji mkubwa wa dini na Mungu kuwa ni stori tuu) inamaana hiyo dawa haitofanya kazi wakati mwili wake na wa watu wote wanaotoa ushuhuda pale ni sawa... ?

Hatuwezi kuendelea kabisa kwa imani za matope hizi watu wanafanya nano engineering sie tunaleta tiba za uganga njaa...
 
Back
Top Bottom