kutaja pesa kuzikuzuie na kukufanya umuogope @misschaga, nina hakika hayupo kama anavyoishi humu ndani... Binafsi nisingekuwa na Huyu Binti wa kinyakyusa ningejiweka kwake... Anavutia, ana maneno matamu na vile ni muelewa. Kumuacha @misschaga ni sawa na kupiga teke gunia la pesaSawa, ni kweli anastahili mkuu ila huwa anataja taja pesa kila kona!
Hivi mkuu unatumia mbinu gani kuwakwapua hawa watoto wazuri wa JF, kwa sababu huyu ulie nae sasa hivi ni wa tisa sasa, nifundishe hizo mbinu please kwa sababu nina ugwadu kinoma!!!kutaja pesa kuzikuzuie na kukufanya umuogope @misschaga, nina hakika hayupo kama anavyoishi humu ndani... Binafsi nisingekuwa na Huyu Binti wa kinyakyusa ningejiweka kwake... Anavutia, ana maneno matamu na vile ni muelewa. Kumuacha @misschaga ni sawa na kupiga teke gunia la pesa
aaaah namuomba MUNGU asipaone @kamagatec utaifanya jumatatu yangu kuwa mbaya sana mkuu... Humu nimekwapua watatu tu sio kumi kama ulivyosemaHivi mkuu unatumia mbinu gani kuwakwapua hawa watoto wazuri wa JF, kwa sababu huyu ulie nae sasa hivi ni wa tisa sasa, nifundishe hizo mbinu please kwa sababu nina ugwadu kinoma!!!