eRRy JF-Expert Member Jun 12, 2009 1,125 204 Jul 22, 2011 #1 Hello JF, kuna rafiki yangu ana mba mwilini, kadai ameshatumia dawA mbalimbali bila mafanikio. AfAnyeje?
Hello JF, kuna rafiki yangu ana mba mwilini, kadai ameshatumia dawA mbalimbali bila mafanikio. AfAnyeje?
I isinkini Member May 7, 2011 43 10 Jul 23, 2011 #3 katumia dawa gani na alikuwa akitoa wapi? kama alikuwa anajifanyia prescription mwenyewe inabidi aende hospitali.
katumia dawa gani na alikuwa akitoa wapi? kama alikuwa anajifanyia prescription mwenyewe inabidi aende hospitali.
eRRy JF-Expert Member Jun 12, 2009 1,125 204 Jul 24, 2011 Thread starter #4 thanx guyz! MESSAGE RECEIVED!
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,621 52,373 Jul 25, 2011 #5 Jieleze kijana, mbona uko juu juu kama mkungu wa ndizi.