Dawa ya mapunye. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya mapunye.

Discussion in 'JF Doctor' started by Brightman Jr, Jan 24, 2012.

 1. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wakuu kwa wale wataalamu naomba endapo kuna dawa kiboko ya kuponyesha mapunye yanayojitokeza kichwani. Nina watoto mmoja miaka 4 na mwingine miaka 9. Wanasumbuliwa sana; nimejaribu dawa nyingi za kupaka pamoja na sabuni(medicated soaps) lakini kupona hakupo! Msaada tafadhali.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga jisugue limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.

  (Fenugreek) kwa lugha ya kiswahili inaitwa Uwatu. Uwatu unachukua vijiko 2 vya chai vya Uwatu (fenugreek) unazirowesha katika maji usiku mzima ili zipate kulainika, halafu unazipoda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila tabu yoyote.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nadhani pia huwa inakuwa kwenye umri, maana nikiwa mtoto nakumbuka nilipataga nikawa sipendi kabisa na nilijaribu dawa nyingi ikiwepo moja inayoitwa B-Tex ambayo ilinisaidia sijui kama bado ipo.

  Nakushauri wapeleke watoto kwa daktari wa ngozi coz inamuumiza sana mtoto kisaikolojia anapoteza hata uwezo wa kujiamini mbele ya wenzako, at that age mtoto ameshaanza kujitambua.

  Pole
   
 4. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mzizimkavu na Maundumula nawashukuru sana kwa ushauri wenu, nitaufanyia kazi.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Mshubiri Mwitu au Aloe Vera kwa jina lingine. Ponda paka kichwani kila siku mara mbili asubuhi na usiku.
   
 6. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ahsante FaizaFoxy. Dozi hii ni ya siku ngapi au hadi nione dalili za kupona? Nifahamishe tafadhali.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni mpaka upone na kupona huanza immediately na huchukuwa siku tatu mpaka kumi inategemea na uwingi wa hayo mapunye, utashangaa.
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  pia, uwe unawanyoa nywele hao watoto angalau kila baada ya wiki mbili. itasaidia kuona kama kuna sehemu sehemu zingine zimepata upele na kama ni dawa inapakika vema kabisa (evenly).
   
 9. D

  DOMA JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Muone ndodi
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,165
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  Jf inapogeuka

  aghakan hospital pembeni namwona hon mre ngeizukulu jilala kazi po
  mpwa wapeleke wakachek damu zao pima full b pictur usiogope hii ni mwanzo nakama unaogopa nenda hata na housgirl akupe company

  second
  fwata ushauri wa hapo juu na ikiwezekana chukua na wangu chukua maji weka kwenye sufuria kadogo kichwa chao kinaenea weka nusu ya vinegar kama maji then wainamishe vichwa kwa dk 15
  mara tatu kwa siku njoo rudi usafiri na didy bure sichaji mtu
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,165
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  ukitaka dawa ya penzi ni PM
  500 tu achana na zile za 2000 wanapulizia perfume teeeh teeehhh
   
 12. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nashukuru sana waheshimiwa kwa ushauri na mawazo mazuri sana nitayazingatia. Ila hii hapa chini sikuisema jamani ila nao ni ushauri....!

   
 13. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Una mambo wewe!
   
 14. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Mmmmmmmmh !
   
Loading...