Dawa ya mapenzi

Umeona eeeeehhhhh!!!!
Huwa siwaelew hawa viumbe wa kike!!!!!

Kwa kifupi hawaeleweki na hawajielewi........akimpata mwenye hela atamtafuta mwenye dushe kubwa akimpata mwenye dushe kubwa atamtafuta mwenye hela basi tabu tupuuuuuuuuuuuuuuu...............
 
Sio kweli kwamba fedha ni dawa ya mapenzi.. Sio siri kwamba matajiri wana matatizo sana kwenye ndoa/mahusiano yao pamoja na ukwasi walio nao.. Ni kujidanganya kufikiria hivyo.. Kilichopo ni kwamba unapokuwa na fedha inakuwa rahisi kwako kumpata mwanamke/mwanaume yeyote (mwenye tamaa) na kutimiza tamaa ya mwili na moyo wako.. Ila huwezi kununua penzi (kwa maana ya love)..
 
Huwa hawaelewi kuwa hela zatafutwa hata nikikupa leo kesho nitapata zingine, ila hizo papuchi declines kila siku
 

Mapenzi bila pesa ni mateso tu...mkuu....utakulaje goodtimes.
.na mpenzi ikiwa mifuko haisomi....???
 
Last edited by a moderator:
Yaani mimi usiponikuna tena vizuri na pesa zako utalala mbele!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…